stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 812
- 1,753
Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
Muamini YESU tu!Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
Ni kweli kabisa.😂🤣🤣🤣