samaki

  1. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nauza Samaki aina ya Jodari

    Wakuu habari Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana. Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo. Bei ni 12000 tu, kwa mmoja 0616274277. Napatikana Kigamboni
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ubinadamu ndipo ulipofika hapa.Wapalestina wategwa kwa chakula mithili ya kuwapata samaki au wanyama porini

    Ushirikiano wa Marekani na Israel uliwaza sana namna ya kuwamaliza Hamas ambao wameonekana sugu kushindwa kwa mbinu zote zilizotumika mpaka sasa. Chakula ikaonekana ndicho chambo kizuri cha kuwakamata baada ya kuwa wamezuliliwa kupata chakula kwa miezi kadhaa. Ndipo ushirikiano huo ulipounda...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watu wa karibu na bahari wanajifanya wanajua kupara samaki basi kuna samaki wanapatikana amazoni sio baharini unatumia nyundo na cheche zinatoka

    Kuna samaki anapatikana amazoni kwa jina Arapaima (pia anajulikana kama Pirarucu au Paiche). Huyu ni mmoja wa samaki wakubwa kabisa wa maji baridi duniani na hupatikana kwenye Mto Amazon. Magamba yake ni magumu sana na yanakinga hata meno ya wanyama wakali kama mamba na piranha. Ili kuondoa...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali yangu itawawezesha wavuvi kununua meli kubwa za kisasa za kuvua samaki pwani ya bahari ya hindi

    Hii ni kuhakikisha tunanufaika na pwani ya bahari ya indi tofauti na sasa hatunufaiki nayo
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Eti samaki samaki za Dar ni kampuni moja na ya ile ya Morogoro

    Nyie wazururaji nijuzeni Mimi nilikuwa sijui mmiliki wa samaki samaki anaitwa nani na Kuna mtu kaniambia ndo mwenye wavuvi camp..swali langu fupi ni je mwenye hizohizo samaki samaki za dar masaki na mlimani city ndo huyohuyo anamiliki ile ya morogoro.
  6. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Samaki aina ya Mbasa wanauzwa Mbeya mjini.

    Samaki aina ya Mvasa wanauzwa Mbeya mjini. Bei inategemeana na ukubwa wa samaki, kuanzia 15,000/= hadi 45,000/= wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  7. johari Joh

    JamiiForums Tanzania Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

    Kama unahitaji Samaki weka order yako lipia utumiwe mzigo wako . • SATO. 1. Wabichi. 2. Kukaanga. 3. Kg 13,000. • SANGARA. 1. Wabichi. 2. Wakavu. 3. wakukaanga. 4. Kg 11,000. • DAGAA. 1. Wabichi Kg 5,000. 2. Wakavu Kg 8.000. 3. Wakukaanga. 18,000. •...
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

    Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu. Wasaniii mjitafakari Sana
  9. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kufuga samaki kwenye Tanks za maji ?

    Ma expert, hivi hiyo inawezekana au mpka nichimbe kisima au bwawa ndio nifuge Nina tank la 5000L nimewaza nifuge samaki humu
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Umewahi kununua samaki waliokaangwa na baadaye kukuta wameoza

    Umewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote. Hivi ndio leo nimeshinda njaa.
  11. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari , yenye Fridge ambayo itabeba samaki kutoka Kigambo to Sinza .

    Inahitajika Gari yenye Fridge ambayo itabeba samaki kutoka Kigamboni to Sinza. Ukubwa tani mbili Mawasiliano 0658124288, call & WhatsApp Welcome
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ziwa Nyasa lina zaidi ya aina 600+ za samaki,Zaidi ya aina 400 ni samaki wa mapambo.Je imeshindikana vipi hao samaki kupandikizwa maziwa mengine?

    Hi👋 Kulingana na ripoti ya utafiti wa mwaka 2011,asilimia 15 ya aina za samaki wa maji baridi duniani wanapatikana ziwa Nyasa ambapo kuna aina ya samaki tofauti zaidi ya 600,huku kukiwa aina ya samaki wa mapambo zaidi ya 400 Wakuu niseme wazi kuwa lengo langu nikujifunza na kufundishwa nipate...
  13. babukijana

    JamiiForums Tanzania Samaki Mbasa

    Siwaiti wakuu, twende kwenye mada. Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko. Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta. Nilienda mwaka 2016. Sikukuta kitu, Wameenda wapi? Ni samaki tasrte vit vin somo la tokyo hatukuelewana
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

    Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa? Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi? Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuna bahari ila uwezo wa kupata samaki wa bahari mikoa mingine ni kama ndoto?

    Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki. Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki. Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka serikali kufunga uvuvi wa samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita kuwezesha samaki kuzaliana

    Ni jambo lisilopingika kwamba samaki katika Ziwa Victoria wamepungua sana na inawezekana kwa asilimia 80. Kunusuru hali hii inabidi Serikali kupandikiza vifaranga wa samaki hasa wale wa sangari, dagaa, sato, mumi, ningu, kamongo, na wengineo kwa mamilioni ili idadi ya samaki iongezeke kwa kasi...
  17. Justus wisdom

    JamiiForums Tanzania Fuga samaki kwa faida na ovs-Aquasupplies

    “AquaGold” ndio samaki sato ni dhahabu ya majini.. Katika ufugaji wa Samaki nchini Tanzania samaki jamii ya sato imeonekana kuwa na tija sana kutokana na kuwa na watumiaji wengi zaidi sokoni, kwa maana hiyo soko lake ni la uhakika ndani ya nchi na pia nje ya nchi. Kwanini ufuge samaki...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tambi na lost ya samaki

    Hello Leo nilitembelewa na mshikaji wangu alikuwa amefunga suni akasema leo nimefunga nakuja uko kukupa hi bas nikajiongeza nimuamdalie futari Nikaanza kupika tambi napenda za rangi mbili so nikaanza kwanza kuziunguza kwanza kama hivi Baada ya hpo nikazigeuza kuona kama zimekaa vizuri Baada...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: samaki wa mbao

  20. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania KWELI Samaki aina ya Papa (Shark), nyama yao ni hatari ina kemikali ya Zebaki (Mercury)

    HABARI WANA JAMII FORUM Nasikia kitaalamu samaki aina ya papa na jamii za samaki wa aina hii huwa wana kiwango kikubwa Cha kemikali ya madini ya mercury na ni hatari kwa afya ya mwanadam Je swala hili kitaalamu ni Kweli?
Back
Top Bottom