samaki

  1. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Tupike wali samaki

    Hi guys,.hope mko poa Tunavyoendelea kumwomba Mungu kuelekea kesho D9 basi tusisahau kula..... Haya tuanze Ukishaweka mchele wako kwenye rice cooker au vyovyote vile utakavyoupika,. Pembeni tutaanza kupika samaki,. Kwenye sufuria yako utaanza kuweka mafuta kidogo,. vitunguu hoho na carrot kama...
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Taifa Bila Elimu ni Kama Kuvua Samaki Bila Uvuvi - Tunahitaji Mabadiliko Haraka!

    Binafsi, ninahisi uchungu na maumivu makubwa kwa kuona taifa letu linavyoelekea kwenye matatizo makubwa ambayo tungeweza kuyazuia kama tungekuwa na viongozi walio na elimu na uwezo wa kutatua changamoto za kweli. Samia anaheshimika sana, lakini kwenye suala la kuongoza taifa lenye zaidi ya...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tupike ugali samaki na mchicha

    Hell Kwanza osha mchicha wako vizuri mimi nime tumia mchicha wa kungo’a kule kwetu tuna uita ivyo una kuwa na michanga mingi so uoshe vizuri kisha ukate au una weza usiukate kisha weka pembeni ujichuje maji ili ukipika mchicha usiwe na maji kabisa Baada ya hapo kataka kitunguu chakoa na...
  4. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Tupike mchuzi wa samaki wa nazi

    I hope mko vizuri Na mnaendelea na majukumu Leo tupike samaki wa nazi(fish curry) Mahitaji Samaki waliokaangwa Karoti,hoho,kitunguu maji 1,tangawizi,kitunguu swaumu punje chache,nyanya moja,mafuta ya kupikia,chumvi Nazi mimi nimetumia halis unaweza tumia hata ya pakt pamoja na curry powder...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tupike mlo wa haraka mchesho wa ndizi na samaki

    Hello Huu naona mdio chakula chepesi kupika kwa haraka na kitamu hasa pale unapo kuwa umeshikwa njaa na tumbo lina tetemeka Uta chukua ndizi zako mimi nimetumia mzuzu nikazimenya vzr kisha nika ziweka jikoni zikichemka baada ya mda nika weka samaki vichemke kwasbabu samaki achelewi kuiva so...
  6. Thabit Karim

    JamiiForums Tanzania Microwave oven ipi ina choma kuku, samaki na nyama

    Habari naomba ushauri ni microwave oven ipi nzuri kuchoma nyama, kuku na samaki ambayo ni durable na yenye bajeti isiyozidi laki nne brand iwe yoyote ila Hisense itapendeza zaidi
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tupike Chapati za mayai na supu ya samaki

    Hell Tupike chapati za mayai za kukanda Kwanza utaweka unga wako ulio chekechwa kwenye bakuri uta weka na blue band then chukua mayai yako yakologe pembeni kisha uweke pia the kanda kama huna blue band una weza weka mafuta ya kupikia ukipata ya alizet itakuwa poa sana Kanda pole pole mpaka...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

    SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria kwa jamii ya wakazi wanaoishi jirani na hifadhi ya taifa kisiwa cha Rubondo. Mradi huo ni sehemu ya makundi matatu ya miradi ambayo inahusisha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TADB yanufaisha Vijana Mwanza kwa fursa ya ufugaji wa kisasa wa samaki kwa vizimba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
  10. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

    Wataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu.. Aksante.
  11. The humble Man

    JamiiForums Tanzania samaki Aina ya GOGO

    Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
  12. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

    Wasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani. Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?
  13. Masangutu

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuvuna samaki sato natafuta mteja/wateja Mwanza

    Habari za muda muda wadau bila shaka mnaendelea kufuatilia wagombea waliopita.Nisiwachoshe nipo jijini Mwanza najihusisha na ufugaji wa samaki aina ya Sato ziwa victoria, natarajia kuvuna makadirio ya chini Tani 2.5(2500kg+). Hii ni kati ya wiki moja ijayo,hivyo naomba yoyote mwenye uhitaji wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu ufagaji wa samaki ziwa Victoria

    Kumekuwa na ufugaji mkubwa wa samaki katika Ziwa Victoria. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia 80 ya wananchi wanaozunguka Ziwa Victoria kwa sasa wanatumia samaki hawa wa kufugwa kama chakula chao tofauti na hapo zamani. Chakula cha samaki hawa kinatengenezwa na ndugu zetu Wachina. Hatujui...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji samaki

    Je kuna faida na hasara gani ya metabolized energy ikiwa kubwa au ndogo kwenye chakula cha samaki sato
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatoki! Mtasema mtachoka lkn hatoki. Aliwahi kusema "hii siyo serikali ya samaki"

    Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi. Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa. Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa...
  17. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

    Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar, Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko maalum wa kuonana na familia ya wakwe zake watarajiwa na kupata chakula cha mchana pamoja...
  18. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa perege za singida

    Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
  19. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mihogo na samaki Coco Beach si salama, kuwa makini unapokula

    Wakuu, habari za jumapili. Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana. Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula. Nilikula samaki na mihogo 2...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania China Yazindua Samaki wa Roboti wa Kibioniki kwa Uhifadhi wa Mito na Mazingira

    China imetengeneza samaki wa roboti wa kibioniki kusaidia katika uhifadhi wa mito na ufuatiliaji wa mazingira. Samaki huyu wa kisasa umetengenezwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Wuhan na unatumia akili bandia (AI) kuiga mienendo ya samaki halisi huku ukikusanya taarifa kuhusu ubora wa maji...
Back
Top Bottom