sahihi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini BAKWATA inashindwa kumpa miongozo sahihi kiongozi wa dini Sheikh Ponda?

    BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti. Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata. Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kabisa kusema kuwa CCM ya sasa ni "CCM ya Magufuli"

    Hatimaye Magufuli amefanikiwa kuiweka CCM mfukoni mwake, tena mfuko wa shati huku akiibeba na kutembea nayo kwa bashasha na makeke mwake. CCM ya sasa inaulizwa kilichopendekezwa na mwenyekiti tena kwa maneno "Si ndivyo jamani?" Kuwarahisishia wapwa na wakulungwa waliojazana humo kwa lengo la...
  3. JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuangalia level ya ATF kwenye gearbox ya gari yako

    Kama huwa unaangali level ya ATF kwenye gari yako kama unaangalia Engine oil basi unakosea sana. Hata mimi nilikuwa na mawazo kama hayo mpaka nimekuja kujua kuwa kumbe huwa nakosea. Kwa asilima kubwa ya magari njia sahihi ya kuangalia level ya ATF ni wakati engine ina joto, gari ipo kwenye...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kifaa sahihi cha kupima uwezo wa betri za simu

    Jamani kwa anayejua ni kifaa gani kina uwezo wa kupima uwezo wa Betri za simu anifahamishe tafadharini waungwana.
  5. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli ya kasi uende sanjari na utoaji wa elimu ya matumizi yake sahihi

    Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hii nadharia ya kila pendo la kweli lazima liishie kwenye ndoa ipo sahihi?

    Hi guys, Naomba kufahamishwa usahihi wa hii nadharia ya kila mnayependana kwa dhati ni lazima muonane ina ukweli kiasi gani? Maana ukizungumzia tu upendo wa dhati halafu hayo mazungumzo yasiishie kwenye ndoa hakuna anayekuelewa kama kweli mlipendana. Hivyo natamani kufahamishwa kuwa je ni...
  7. JamiiForums Tanzania Siku zote Mwanamke asiyekutaka na aliyekuchoka atakuwa anakusumbua tu hadi Ukasirike kwakuwa anakuwa ameshamuona Mwanaume aliye sahihi Kwake Kiupendo

    MORRISON KUKATWA MSHAHARA: Yanga yatoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Bernard Morrison, yasisitiza kuwa ni mchezaji wao halali hadi Julai 2022, yasema itamkata shilingi milioni 1.5 kwenye mshahara wake kwa kosa la kufanya mahojiano na chombo cha habari kinyume na utaratibu. Chanzo: Azam TV...
  8. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuacha mchumba au kumuoa kufuata wapambe wanavyosema licha ya kuona sifa ulizopanga kazikidhi? Ipo nafasi ya washauri kwa mpenzi wako?

    Kila anayechumbia anakuwa na malengo na mipango yake na sifa alizojiwekea kuwa lazima nioe au nioelewe na mtu mwenye sifa kadhaa!! Je unaweza kumuacha mtu wako kisa maneno ya wanaosema hata kama amekidhi vigezo vyako? Mfano wakwambie Ni mwizi Ni malaya Ana mtoto usioe mwenye mtoto Kwao...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?
  11. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

    Ni asubuhi nyingine, matumaini ni kuwa mmeamka salama. Je, ni sahihi kumuacha mkeo kufanya biashara ya kusafiri kwenda mbali kufuata mzigo au bidhaa akiwa mwenyewe? Mfano, mke kusafiri kwenda mikoani kununua mazao ya nafaka na kupeleka dar ambako anamuacha mme wake. Au kusafiri kwenda Dubai...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais wa Zanzibar siyo jambo la Muungano. Si sahihi kwa Watanganyika kushiriki kwa namna yoyote ile kumpata Rais wa Zanzibar

    Tunayo mambo mengi tu ya Muungano lakini suala la Uraisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar siyo mojawapo. Hivi sasa Chama cha Mapinduzi kiko busy kutafuta Mgombea Uraisi wa Zanzibar, katika vitu ambavyo ni makosa ni kuwahusisha Watanganyika katika mchakato wa kumtafuta mtu ambaye atakuwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali sahihi ni ipi kati ya hizi

    1. Serikali ya John Joseph Pombe Magufuli - Ni rais wa nchi hana pesa za mfukoni za kuendesha Nchi si mali yake binafsi... 2. Serikali ya Chama Cha Mapinduzi - Ni Serikali ya Chama Kilichopewa Dhamana ya kutawala kwa wakati huu 3. Serikali ya Wananchi wa Tanzania - Wanalipa Kodi na kuhakikisha...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwanamke kumkosoa mume wake/boyfriend?

    Habari. Moja ka moja kwenye maada, Ni sahihi mwanamke/mke/girlfriend kumkosoa mume wake/boyfriend anapokosea?. Mfano, mwanaume kamtumia mwanamke/mke wake text kwa lugha ya English. Hiyo text ikawa na makosa, sio ya bahati mbaya bali ni kwamba mwanaume hajui hiyo lugha vizuri. Mwanamke...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mazoezi na COVID19: Je, ni sahihi kuvaa barakoa wakati wa mazoezi?

    Kiafya, haitakiwi kuvaa barakoa ‘mask’ wakati wa kufanya mazoezi kwa sababu zinapunguza uwezo wa kupumua vizuri. Katika kufanya mazoezi, katika hali ya kawaida huwa na ugumu wa kuhema hivyo kwa kuvaa barakoa ugumu unaongezeka. Vilevile, jasho linaweza kulowesha barakoa haraka na kuifanya isifae...
  16. JamiiForums Tanzania Hiki alichohoji mtoto huyu yupo sahihi au kakosa Adabu?

    Ni Mtoto wa Kike ( Binti ) tu ambaye anaishi katika Chumba Kimoja na Wazazi wake ila Kimetenganishwa tu amemshtaki Mama yake Mzazi kwa Mjumbe kwa Kumcharaza ( Kumchapa ) Viboko kila mara kwa Kosa la Kukojoa Kitandani kila mara huku akisema mbona na Yeye huwa anamsikia Mama yake huyo akimwambia...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye hili sitaki nifeli, naombeni ushauri wenu waungwana

    Nimemaliza chuo muda (2016) kidogo, nimesota sana kupata ajira, nimesota sana mpaka nilifikia kukata tamaa ya maisha, Mungu mkubwa mwaka jana mwezi wa 5 nikaja kupata kazi kwenye mradi mmoja hivi, kutokana na mapito ya kukosa kazi na kuangaika mtaani, nilijichanga mnooo mnoo nilijichanga kupita...
  18. JamiiForums Tanzania Huwa nafikiria sana haya, Hivi Nkurunzinza alikufa na Corona au ameuawa na sumu za kisasa. Ilikuwa sahihi sana Viongozi wetu kuwa sehemu salama

    Hii Corona ukiifikilia kwa undani ipo na Siri kubwa. Kwa wanaotafakari kwa undani lazma wajiulize hivi ilikuwaje. Mara Waziri wa afya Uingereza kaugua korona, kidogo Waziri mkuu oh Mara imeingia ikulu ya Marekani. Kwa wataalamu wa Mambo huwenda ilikuwa sio kwa bahati mbaya ili ionekane wazi kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanabodi, Je ni sahihi kwa kiongozi katika ngazi hii kubwa kabisa kutamka maneno kama haya?

    Kama nchi kupitia Serikali yetu, ninaamini mkazo mkubwa kwa vijana wetu wanapokuwa mashuleni na vyuoni ni kuhakikisha kuwa wanajikita katika makusudi ya msingi yaliyowapeleka kwenye tassisi walizopelekwa kusoma. Kila Mtanzania mwenye nia njema na watoto wetu (hususani wale wa kike) anao wajibu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Bado naamini Power of Nature itaingilia kati katika muda sahihi na kuwanyamazisha kabisa hawa watu

    Ukifuatilia kauli na matendo ya hawa wenztu,utagundua kuwa ni watu ambao sasa wanamuabudu binadamu mwenzao na zaidi ni watu waliolewa madaraka,waliojisahau kupitiliza,wamejaa kiburi cha hali ya juu,wanadharau utu wa watu wengine na kibaya zaidi wameshajihakikishia kesho yao itakuwaje as if...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…