Kibaiolojia, mwanamke anazeeka haraka sana kuliko mwanaume. Je, mwanaume kuoa mwanamke anayemzidi umri? Mfano kwa miaka 5 na kuendelea, huwa wanalenga starehe za muda mfupi au huwa na malengo ya kudumu katika maisha yao?
Wajuzi wa mambo karibuni kwa mjadala