Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,912
Mfano unaishi mji A ambao ndiko makazi yako na ndiko unapoendeshea shughuli zako za kila siku, kiasi kwamba watu wako unaoshirikiana nao kila siku wanapatikana Mji huo.
Pia, una makazi yako Mji B ambako huko ndio asili yako, wazazi, ndugu na jamaa wengine wanapatikana kwa wingi.
Utafunga Harusi mji upi?
Pia, una makazi yako Mji B ambako huko ndio asili yako, wazazi, ndugu na jamaa wengine wanapatikana kwa wingi.
Utafunga Harusi mji upi?