Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili,
Je Rais WENU you salama kiasi Gani?
Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani?
Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam.
Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi.
Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
Anonymous
Thread
chanika
mchango
michango
mtaa
ofisi
sahihi
serikali
serikali ya mtaa
utaratibu
viongozi
SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE.
Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni).
Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati chombo ni kibovu, chombo kiliitaji service kabla hatujaanza safari.
Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo.
Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA maisha yake yote.
Ukiwa broke huyo mtoto WA kazi gani labda ukiwa tajiri au umefanikiwa afadhali hapo...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa
kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
Salaam Wakuu,
Watu wazima miaka 60 biblia bado hawaielewi, vipi watoto wadogo?
Je, Biblia inaweza kuwwjenga watoto au kuwabomoa?
Watoto wadogo wasome mambo Ufunuo, Walawi, Waamuzi, Ruth Samweli, Wimbo ulio bora nk.
Kwa upande wangu naona si sahihi watoto kuachiwa Biblia wajisomee bila...
Habari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye alikuwa na watoto wawili kwa wakati huo.
Yaani Single mother of two kids mimi wakati huo bado yanki so...
Habari,
Kuna baadhi ya matangazo ya KAZI huwa yanahitaji CV hasa kwa njia ya WhatsApp.
Je njia hii ni salama kwa ajili ya privacy nk?
Je ni hatari kiasi Gani?
Ahsante.
Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake.
Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
Wakuu
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke.
Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote.
Tuzungumze kidogo kama...
SEHEMU AMBAYO HAIKUPI UHURU SIO SEHEMU SAHIHI.
Maisha mazuri ni yale yanayokupa uhuru wa kuishi vile unavyotaka bila shinikizo kutoka upande wowote wa dunia.
Ikiwa katika mahusiano, kazi/ajira au katika maisha ya kila siku kama vile urafiki na familia unapoona hakuna uhuru using'ang'anie...
Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa,
Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
Hivi ukiagiza chai ya maziwa halafu ukaletewa maziwa na majani ya kuchovya(teabags) pembeni hapo unakuwa umepewa chai ya maziwa au ni maziwa yaliyowekewa majani ya chai?
Mimi nafikiri chai ya maziwa ni lazima majani na maziwa vichemshwe pamoja jikoni, tofauti na hapo ni utapeli tu.
Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.
Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono.
Tatizo linaweza kuwa maeneo haya:
1. Je waliopigiwa makofi mengi...
Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6
Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna.
Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
Hi Everyone
Tunasikia mara kwa mara wataalamu wa afya wakituelekeza kula mlo kamili:
Mboga za majani, matunda, protini, nafaka zisizokobolewa na maji ya kutosha.
Lakini kuna eneo moja ambalo halizungumzwi sana - namna chakula hicho kinavyoandaliwa.
Unaweza kula mlo kamili, lakini kama...
Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito.
kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.