sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua shida hii Ajiraportal

    Habari, kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno. Nani alishapata solution?
  2. JamiiForums Tanzania Msijisahau huu ndio wakati sahihi wa kauli mbiu "Mama Anaupiga Mwingi"

    Lopolopo kuhusu viwango vya nauli msijisahau tunawakumbusha Mama anaupiga mwingi sasa yuko pande za Marekani, anafanya mwendelezo wa bidii za kuifungua nchi. Mama anaupiga mwingi, tuache lopolopo nauli kiwango cha chini ni 700 -1000,mpende msipende
  3. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hapa

    Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
  4. JamiiForums Tanzania Wakati vitu vinazidi kupanda bei, Serikali imelipia ndege mpya tano kuimarisha ATCL

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ili liweze kutoa huduma bora ya usafiri wa anga ndani na nje ya nchi ambapo amebainisha kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya ununuzi wa ndege tano. Japo hawajasema ni lini...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi unaweza kuitumia kuomba nafasi ya kujitolea ktk kampuni

    imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu maana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi, Mengine ni kutufanya sisi "kindergarten"

    Habari wanajamvi, "Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi" Ninaanza na kauli hiyo kwa sababu kumekuwa na tamaduni kwamba Kila akisemacho Rais na kukipinga hadharani waliohusika kukifanya wamekuwa wakikosolewa na kupondwa sana, Mfano:JPM alileta kikokotoo, lakini alikuja kukipinga hadharani kwa...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mtihani wa kuwapata wagombea-wenza sahihi wa kiti cha urais Kenya

    Mtihani mkubwa ulioko mbele ya Wagombea wa kiti cha Urais #Kenya (Odinga na Ruto) ni chaguo la Mgombea-mwenza. Chaguo lao wote wawili huenda likabadilisha mchakato mzima wa siasa na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu Agosti 9. Ni suala la kusubiri tu.
  9. JamiiForums Tanzania Ipi njia sahihi ya kumlea mtoto akiwa na mzazi mmoja?

    Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema, Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya watoto mliozaa kukosa malezi ya wazazi wawili. Je, tufanyaje Watoto hawa tuwaleeje ikiwa wapo na...
  10. JamiiForums Tanzania Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

    Habair wanajamii Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba. Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nihifadhi wapi akiba yangu ya fedha ili nipate faida ya angalau asilimia 10 kwa mwaka?

    Habari ndugu zangu, Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka! Naomba msaada kwa anayejua
  12. JamiiForums Tanzania Nimempiga mtoto wa mdogo wangu, ndugu wananilaumu lakini Mama ananiunga mkono

    Huyu mdogo wangu wa kike wa mwisho ana kitoto chake kina miaka 6. Weekend hii alikileta kije msalimia uncle. Mi sikuona shida kabisa. Wazo lilikuwa jema. Shida ikawa kwenye utekelezaji. Kile ki uncle kina kera balaa... Kinakera mpaka mwisho. Kimefika home ndani ya muda mfupi kimeshaingia vyumba...
  13. JamiiForums Tanzania Watawala, wananchi wana haki ya kupata taarifa sahihi na kwa wakati

    Ili kujenga jamii iliyobora mawasiliano katika kutatua changamoto za jamii ni muhimu sana. Lakini katika hili ofisi na taasisi za Serikali zimekuwa na changamoto katika kutoa mawasiliano kwa Umma na taarifa muhimu zinazowafaa wananchi. Ukianza kutafuta taarifa za jambo fulani katika Serikali na...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuwekea “teenager” TV chumbani kwake?

    Kwakweli utandawazi wazi umeharibu mila na desturi zetu. Ni kawaida watoto kuangalia vipindi na sinema wanazopenda hata kuna wakati unakosa nafasi ya kuangalia taarifa ya habari. Watoto kuwa na uhuru wa kuangalia vipindi vyao vyumbani mwao wanaupenda sana. Lakini pale mtoto anaposhindwa...
  15. JamiiForums Tanzania umri sahihi ni upi wakuwa na maisha bora

    wakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha
  16. JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi ya kuishi, na mwanamke uliyezaa naye; bila kuathiri ndoa iliyopo?

    Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:- Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako Mzazi mwenzako kuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Hoja: Jina sahihi la Kiswahili ni Russia au Urusi?

    Kutokana na mgogoro uliopo hapo ulaya nimesikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali lakini vikitaja majina tofauti. VOA, Mwananchi,Milard Ayo wanasema,wanatamka au kuandika jina Russia lakini BBC,DW wanaripoti jina Urusi. Sasa swali ni jina gani la kiswahili sahihi kutumika? Russia ni...
  18. JamiiForums Tanzania Upi ni umri sahihi wa mtoto kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wake?

    Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule, Haijalishi una umri gani yani hata uingie jando na miaka 8 Ni MARUFUKU KABISA na kamwe hautakaa uingie...
  19. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni haki ya msingi kwa kila mtu; usimamizi sahihi wa ulinzi huo ndio mfumo fanisi wa kuilinda haki hiyo

    Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa. Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
  20. JamiiForums Tanzania Usifanye maamuzi ukiwa umelewa, yatakugharimu

    Siku moja nilipata safari kwenda mkoa anakoishi mchepuko wangu, ambaye tulibahatika kuzaa naye. Baada ya kufika katika huo mkoa, nilimjulisha na akanikaribisha niende kumtembelea nyumbani kwake. Mida ya jioni ilipofika, nilifika nyumbani kwake, tukaongea stori za hapa na pale, huku mtoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…