safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vinahitajika kusajili line ya Safaricom ili niwezi kutumia Paypal?

    Habari majirani, Huku kwetu Tz Paypal inaruhusu malipo tu, Haiingizi pesa, Hivyo nimeona mbadala ni kuja hapo mpakani ili nisajiliwe line ya Safaricom ambayo hata huku kwetu inafanya kazi maana wana undugu na Vodacom. Je, ni vitu gani vinatakiwa ili niweze kupata hio simcard? Asanteni
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wiki ijayo tunasafiri kuelekea Llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwllllantysiliogogogoch

    Wiki ijay Viwawa wa parokia yetu tutakuwa tunasafiri kuelekea Wales kwa mualiko wa Viwawa wa parokia ya Llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwllllantysiliogogogoch. Safari hii itakuwa ni ya mara ya 3, nyingine zilikuwa mwaka 2000, 2016. Pamoja na mambo mengine nitakuwa naangalia na fursa za...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

    Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
  4. B

    JamiiForums Tanzania DC Iramba awazawadia walimu Shule ya Sekondari Lulumba safari ya kwenda mbuga wanayotaka nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda ametoa zawadi kwa walimu wa shule ya Sekondari Lulumba kuchagua mbuga yoyote ya wanyama kwenda kupumzika kwa siku 3 baada ya shule hiyo kufanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha 6 na kuongoza Kiwilaya na Kimkoa na kushika nafasi ya 24...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Express Kuanza Safari za Usiku

    Kampuni ya Kilimanjaro Express kuanza karibuni safari zake za usiku Kwa mujibu wa Tangazo lililotolewa kwenye ukurasa wake wa twiter, Huduma ya usafiri itaanza saa 2 Usiku kuanzia Dar-Moshi-Arusha Kwa mujibu wa afisa wa Kampuni hiyo ambaye nimeongea naye kwa njia ya simu, amethibisha kuwepo...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

    Ninaposema HAKI namaanisha Mungu. Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21 Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye aanza safari na jeshi la polisi kutoka Mwanza kwenda Dar usiku wa leo kwa ajili ya upekuzi

    Taarifa za uhakika ni kuwa, mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye usiku wa leo ameanza safari ya kusafirishwa na jeshi la Polisi kupelekwa Dar kwa ajili ya upekuzi. Kiongozi huyo pamoja na msaidizi wake wa idara ya uenezi wanatuhumiwa kumiliki mitambo ya kufyatua katiba.
  8. majumba 6

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kwenda Burundi imeiva

    Twenzetu burundi...!
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu

    MZEE RUKHSA SAFARI YA MAISHA YANGU Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Panya mikoa ya Kusini: Safari yangu ya siku 37 ilivyonifungua mambo mengi

    Safari yenye takribani kilomita 600+ hadi Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi kijiji cha Nangoo napata fursa ya kuifahamu jamii ya watu wa mikoa hii japo kwa uchache. Nikiwa eneo hilo nilipata fursa ya kufahamu baadhi ya tamaduni za kule, baadhi tu kama vile Unyago na aina ya vyakula ambavyo vipo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  12. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Changamoto za safari nje ya nchi na covid19 | delta, chanjo, cheti mambo yako vipi?

    Habari, Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta. Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri... Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CCM waendelea kuvuana nguo, safari hii ni Bollen Ngeti

    DK. ANTONY DIALO NI MNAFIKI SANA, MPUUZENI Na Bollen Ngetti NINAANDIKA makala haya nikiendelea na matibabu ya Covid-19 kwa siku ya 9 lakini nina amini nitapona. Upekee wa virusi hivi ni kwamba vinaathiri mfumo wa upumuaji lakini si nishati ya ubongo. Kwa mantiki hiyo nina akili safi...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Mitaala inayoelezea safari za Carl Peters inasaidiaje kijana wa Kitanzania?

    Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters?? Is this the history we praise and teach?
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati: Waziri wa Viwanda, Kitila Mkumbo azindua tela la kubeba mizigo

    Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania . Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS ========== Nimesoma hii Habari ; "Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la...
  16. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Safari toka Tanzania kwenda China kwa mwezi huu Julai zipo?

    Habari wakuu, Nina ndugu anahitaji kwenda china kuangalia mazingira ya biashara,kutokana na hali ya Covid19, je safari zipo toka Tanzania kwenda China? Naamini JF ina member wa kada zote. Shukrani Simu 0713-039 875
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nna safari ya Capetown mwisho wa mwezi huu. Nani kaenda DIZONGA hivi karibuni?

    Concern yangu ni kwenye ishu ya COVID -19. Zile story za kwamba ukifika DIZONGA lazima ukae karantini wiki mbili kwenye hoteli ya 5 star kwa gharama zako mwenyewe zina ukweli wowote? Vipi kuhusu wimbi jipya la maambukizi ya COVID ni kama tunavyo aminishwa na media au huko...
  18. data

    JamiiForums Tanzania Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

    Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu. Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake. Vyombo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China yafungua ukurasa mpya katika shughuli za safari ya anga za juu

    Chombo cha “Shenzhou” No.12 cha China hivi karibuni kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga watatu kwenye anga ya juu. Baada ya kuunganisha chombo hicho na behewa la Tianhe lililorushwa angani mapema, wanaanga hao waliingia kwenye behewa hilo. Hii ni mara ya kwanza kwa Wachina kuingia kwenye kituo cha...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mwandishi anapoomba safari za kwenda UN, Seriously!

    Inasikitisha sana kusikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi. Unauonaje urais? Tupewe safari za UN, tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
Back
Top Bottom