Imebainika Kenya itakua ya tatu Afrika kunufaika kutokana na kufunguliana kwa Afrika, huu ndio umuhimu wa kuwa na watu wenye hulka ya kujituma na ujasiri wa kutoka.
Afrika inabadilika, Afrika mpya isiyo ya taswira ya kuomba omba, ila Afrika ya biashara na viwanda, japo kuna baadhi wamenunia...