Je, ni ipi sababu kubwa ya ongezeko la singo maza kwa sasa?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wanabodi.

Miaka ya sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la singo maza mitaani, je sababu kubwa ya ongezeko hili hasa ni ipi kati ya zifuatazo:

1. Malezi mabovu ya wazazi wa sasa

2. Utandawazi

3. Kizazi cha sasa ndo kilivyo

karibu tujadili
 
Sababu kubwa ni kuiona papuchi ni kifaa cha kujifurahisha na kuingiza kipato. Zamani akinamama waliona papuchi ni kifaa cha uumbaji tu
 
Kama mwanaume huna uvumilivu na ujiamini ni ngumu sana kuishi na wanawake wa sasa,

Sababu kubwa ni wanawake wenyewe wanashauriana ujinga na wakijikuta wanalea watoto peke yao tena waajiriwa wanaongoza!
 
je tatizo linaanzia kwenye malezi au utandawaz?
 
Back
Top Bottom