Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa.
Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi...