Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Nizhneserginsky

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
265
545
Wasalamu wanaJF..

Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii.

Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za kutosha kila siku, video zake za utupu ananitumia, ana mali safi, rangi ya andazi, konzi msumari.

Nikajisemea hapa nimeokota dodo kwenye mnazi, mtoto kakolea mpaka wanangu wakaanza kuni-snitch ila hakujali.

Siku moja kabla ya birthday yake nilimpa fedha ya tukio aka-celebrate ,she was very happy &she enjoyed alot akanishukuru.

Na hiyo ndio ikawa siku ya nikufungia vioo (nikaachwa bila sababu) nilitamani kulia kwasababu sikupewa hata mbususu.

Lile dodo nililookota kwenye mnazi niligundua ilikua nazi.

WAKATI WEWE UNAACHWA/KUACHA ULIPEWA SABABU GANI?

1619252776038.png

Wa kwanza

*Siwezi date na nnao wazidi umri"
Hapo kaniacha miaka miwili na nilishambandua kinyama,baada ya wiki tu akarudi kunibembeleza tuendelee et alikua ananipima aone nitachukuliaje na mimi nikawa nilishafuta

Wa pili

"Naomba tusitishe uhusiano coz I dont feel being in you again nimekucheat na nina feel guilty,naona kama sikutendei haki na moyo wangu"

Nikasema poa,siku moja kubwa akarudi anaomba tuendelee huyu nikamkubalia ila kwa maneno yake yale nimeshashindwa kumuamini mpaka kesho
 
D

Daah!mkuu ungeangalia reply yangu hapo juu,nlijibiwa kama ulivyojibiwa,cha ajabu alitaka kurud kwa kumtumia rafiki yake ila nmeamua kuweka ngumu,kama alikuwa ananipima ndo nishajiondokea ivo
 
Mwanza mkuu,chenyew kipo bugando hapo MD
Aaah sawa
Kama ingekua dar ningehisi ni huyo wangu wa pili
Mimi akaniambia ameamua aniambie ili awe huru moyoni
Nikamwambia sawa ila siwezi muamini kama zamani tena na yeye ameshajua anapambana kurejesha imani lakini imeshindikana kama mimi mwenyewe nimeshindwa yeye atawezaje? Ni ngumu na naona alimis show tu kwa sababu kila nikimuweka lazima aseme na wakati wa kurudi gia moja wapo ilikua kuomba show
 
Yaan mkuu hatujatofautiana,yaan yy kila akiomba nmsamehe anadai kinachomtesa ni moments ambazo tulikuwa pamoja,anasema hazifutki kichwan mwake na zinamfanya ashindwe kuyamudu masomo vizur,ila mm nlimjibu tu kuwa mm ukishanambia umenicheat wala ctokaa nigeukee nyuma,nipime kwa njia yoyte ila kunambia umecheat hyo kambi nahama mazima
 
Niliamka asubuh nkakuta text "tundulissu naomba tu niwe mkweli sijisikii kuwa na ww kuna mtu wangu nampenda ila nilificha tu kukwambia mi sina maamuz ila utakavyoamua itakuw ivo"

Baada ya kumaliza kusoma text nilichomoa sigara kwenye pakit nikaanza kusmoke nikamjibu "aaa sawa usijali kuwa huru.

Kumbe mistake iliyotokea alikuw na ujauzito wangu pasipo yy kujua ,baada ya week 2 alikuja getho akinibembeleza turudiane na kunieleza shda yake.

Nilimjibu "nipo tayar kuhudumia mimba kwa gharama yoyote ila sio kukuhudumia wew,mtoto akizaliwa utaamua umlete nmpeleke kwa mama au ubaki nae naomba utoke nje

Kilichofata alilia kilio cha mbwa koko

Halafu kuna demu alishawah kunambia ", tundulissu ukiona mwanamke amekuomba muachane ukamjibu maneno mafupi kama sawa au haina shida maumivu wanayoyapata n makubwa kulikoww uliyeambiwa ,ila ukijichanganya kuandka kitabu et asifanye ivo hahaa unampa kichwa
 
niliamka asubuh nkakuta text "tundulissu naomba tu niwe mkweli sijisikii kuwa na ww kuna mtu wangu nampenda ila nilificha tu kukwambia mi sina maamuz ila utakavyoamua itakuw ivo"

baada ya kumaliza kusoma text nilichomoa sigara kwenye pakit nikaanza kusmoke nikamjibu "aaa sawa usijali kuwa huru.

kumbe mistake iliyotokea alikuw na ujauzito wangu pasipo yy kujua ,baada ya week 2 alikuja getho akinibembeleza turudiane na kunieleza shda yake.

nilimjibu "nipo tayar kuhudumia mimba kwa gharama yoyote ila sio kukuhudumia wew,mtoto akizaliwa utaamua umlete nmpeleke kwa mama au ubaki nae naomba utoke nje

kilichofata alilia kilio cha mbwa koko

alafu kuna demu alishawah kunambia ", tundulissu ukiona mwanamke amekuomba muachane ukamjibu maneno mafupi kama sawa au haina shida maumivu wanayoyapata n makubwa kulikoww uliyeambiwa ,ila ukijichanganya kuandka kitabu et asifanye ivo hahaa unampa kichwa
Sasa huu ndio ukonki master. Hapana pelekeshwa na mbususu moja wakati mbususu zimazagaa mtaani. Pesa yako tuu unavuta kitu special.
 
Back
Top Bottom