Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,703
- 32,279
Huyu jamaa yangu chapombe na mademu sana. Mademu (siyo wanawake ,siyo mabinti, siyo wasichana) MADEMU. last week tumekaa tunapiga maji akapiga simu na kutoa maelekezo.
Baada ya dk kama 40 kikaja kitoto flani kidogo dogo tu mezani kikamkumbatia na kumkiss. Mimi nilipatwa na mshtuko.kuwa haka katoto au kadogo ka mshkaji kamekujaje Bar na kuanza na Vibweka.
Kakanisalimia "mambo?" Sikukajibu maana kiuhalisia kalipaswa kaniamkie au kaseme hata habari za jioni kama hakakutaka niamkia.
Kakiwa kanavuta kiti nlitaka kumwambia jamaa kuwa akaambie alichokaitia then kaondoke.ndo kwanza jamaa nikamwona anakakalisha vizuri akiweka mkono pajani mwake. Nikasema "ooohoooohhhh "
Sikuwa na amani kwa kweli nikaomba niondoke jamaa akanisihi sana tubaki sababu yeye hakuja na gari.so nikavumilia baadaye uzalendo ukanishinda nikaona nimwage jamaa.akakubali kwa shingo upande.
Leo nmekutana na kale kabinti posta during lunch nipo mitaa ya kati tunakula Ugali Mbuzi Choma. Kamekuja kama kawaida kamechangamka kama kametiwa ndimu. "Ooooh shem!"
Nlikakataa mbele ya jamaa "Wee mi siyo shemeji yako mi ni kama kaka yako mkubwa sana au baba yako mdogo" jamaa akashtuka na kunambia nitulie kwanza.
Kakanyamaza na kumwangalia jamaa kuwa kwani vipi? Jamaa akanisihi kuwa anieleweshe. Nilimkatalia na kumwambia siwezi kaa na kitoto cha miaka 15 mezani. Jamaa akanisahihisha kuwa kina miaka 19 na kipo mwaka wa kwanza IFM. nikamwambia to hell. Nikainuka zangu kuondoka.
Hii tabia baadhi ya wanaume wanakuwa nayo inashangaza sana why kudate vitoto vidogo?mwishoni vinaanza kuona na sisi wengine ni wale wale. Watu tuna over 40 years katoto ka miaka 19 kaniite shem kweli? No Way.