Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi huu katika ngazi zote (Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani) ni nyingi ila mimi nitagusia chache...