sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Sababu mojawapo kuu ya kutahiri ni kuweza kutumia condom, Mtu mwenye mkono wa sweta hawezi kutumia condom hivyo yupo hatarini zaidi kupata magonjwa

    Wapo watu akiwamo mgombea urais wa Kenya William Ruto kutetea kwamba hakuna haja ya kutahiri sababu ndivyo tulivyoumbwa Mkono wa sweta na condom ni sawa na kutumia mafuta ya kujipaka mwilini useme upikie chakula Huo mkono wa sweta laba uupige stepla iwe condom
  2. JamiiForums Tanzania Kinana afafanua mkwamo wa maridhiano, kauli ya CHADEMA kwamba CCM haijitambui yatajwa kuwa sababu mojawapo

    Hebu Jisomeeni wenyewe muone ilivyokuwa kama anavyosimulia Mzee Kinana
  3. JamiiForums Tanzania Sheria mojawapo ya Maskini inasema: Usionyeshe wala usi-post Mafanikio yako

    SHERIA MOJAWAPO YA MASKINI INASEMA: USIONYESHE WALA USI-POST MAFANIKIO YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna maskini na umaskini wake. Alafu kuna tajiri na utajiri wake. Umaskini na maskini wanasheria na kanuni zao. Matajiri na utajiri wanasheria na kanuni zao. Wapo maskini wa aina...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwitikio wa watu kusoma shahada ya Umahiri (Master's dgree) kupungua?

    Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana. Hata mtaani ni wachache sana utasikia wanasema wanataka kusoma Master, ukilinganisha na miaka 10 iliyopita hasa 2010 hadi 2015 hamasa ilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tabia ya kubagua kazi ni kwa sababu ya kutokujua hili

    Mwanadamu umeumbwa kwa mfano wa Mungu. Baadhi ya sifa za Mungu ni kufanya kazi. Tena kwa ufanisi na ubora, huu uwezo kila mtu ameumbwa nao maana kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Watu wengi wanabagua kazi, na wengine kufanya kazi kwa uvivu bila morali ni kwa sababu wanafikiri dhumuni la...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye app ya NALA ana jina kubwa kuliko app, kafanikiwa kwa sababu kasoma International schools sio kwa app, wewe mara ya mwisho umetumia Nala lini?

    utasiki Nala imepata tuzo flani, Nala imepata sponsors, Nala imealikwa Marekani ama Ulaya kwenye kikao cha Tech. Ajabu ni kwambai hata wewe ukijiuliza ni lini mara ya mwisho umetumia Nala unaweza ukasugua sana kichwa. Kwangu nachoona ni kwamba kijana Fernandez alisomea shule hizi International...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni ipi sababu ya DAWASA ya kukosekana kwa maji?

    Ndugu zangu, Hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini? Hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi lakini sifahamu sababu

    Nina wasiwasi mkali Sana lakini siioni sababu. Nifanye nini kupunguza hii hali
  9. JamiiForums Tanzania Kuomba sana, kuwa mwema sana sio sababu ya Mungu kukubariki

    Ukiangalia kwenye maisha kuna watu hawana habari na Mungu hata kidogo na wanamaisha mazuri biashara zao zinazidi kukua kila uchwao mfano mzuri ni wana-science wako mstari wa mbele kumpinga Mungu ila kila siku wanazidi kuvumbua vitu Njoo kwa sisi ambao tunaomba kila siku wengi wetu maisha yetu...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

    habari wadau nilikuwa na utafiti binafsi wa mambo ya ndoa kwa ajili ya kukamilisha research thesis for academic reasons. nilifika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke na kufanikiwa kuomba nakala za hukumu mbali mbali za kesi za ndoa ili zinisaidie utafiti wangu. katika kusoma kwangu...
  11. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilikufanya kukipenda chama cha siasa unachokiunga mkono?

    Kila mmoja wetu ana sababu zake za kuchagua na kupenda chama cha siasa anachoona kuwa kinamwakilisha vyema. Huku kila mmoja akiwa na sababu tofauti, ni muhimu kujiuliza: Je, ni sababu zipi zinazotuongoza kuchagua na kukipenda chama fulani cha siasa? Moja ya sababu kuu inaweza kuwa ni sera na...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi ndizo sababu za kwanini Serikali ya CCM haitaki Maandamano ya CHADEMA

    Habari wanajamvi! Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24 mwezi huu wa kwanza nikaona si vibaya na mimi nikatoa mtazamo wangu hasa baada ya nguvu kubwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mtizamo wa Malasusa hata Serikali ikiua raia wake hawezi kukemea kwa sababu hajalelewa hivyo. Alikaa kimya wakati wa Magufuli hata sasa aendelee

    Unapokuwa na kiongozi wa kidini asiyejali malengo ya Mungu kuwaleta wanadamu Duniani ni hasara kwa kanisa. Ukimsikiliza Askofu Malasusa na ukifuatilia namna ambavyo amekuwa akitekeleza majukumu yake utabaini wazi kwamba siyo kiongozi wa kidini bali ni mtu aliyekaa kwenye dini kama Sehemu yake...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Silaa tunakuhitaji Ukonga kwa sababu zifuatazo

    Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi ninaejua siasa za Ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana Ukonga kuwa tunamuhitaji Jerry kuliko kitu chochote. Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali kataa jimbo la ukonga ni miongoni mwa majimbo magumu ila sisi tuliozaliwa ukonga tunajua chanzo kiini...
  16. JamiiForums Tanzania Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

    Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza. Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania. Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA tambueni Makonda kupita mule alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

    Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa. Raia wanyonge...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Sababu ya Nchimbi, viongozi CHADEMA wanataka kadi za CCM

    " Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama. Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda...
  20. JamiiForums Tanzania Kurasa gani mtandaoni zimeku-block? Sababu ilikuwa nini?

    Wakuu hadi sasa hivi nimelimwa block kwenye page kadhaa mitandaoni sababu kubwa ni kuwa na mawazo tofauti. Hizi ni baadhi ya page ambazo nimepigwa block; 1. Malisa GJ - huyu kanilima block Instagram, Facebook na Twitter (X). Hataki kabisa kupingwa au kukosolewa. 2. Martin Maranja Masese - huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…