Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 129
- 733
Wakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
HalmshauriUpo halmashauri au kitengo ? Ngoja waliojiajiri wanakuja
bado wanadai redio mbao zinadai ukiwa unaanza mwaka mpya wa fedha uwa kuna kuchelewa kwa mishahara japo ukweli wake sifahamu nimesikia tu.Wakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
Humu wengi wetu ni jobless na wengi tumejiajili na wengine ni Afisa usafirishajiWakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
Mishahara bado kidogoWakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
Subr bado hata mm sijaona chochoteHalmshauri
Jf users wengi wamejiajiri. Hawategemei mishaharaWakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
Sisi walimu mshahara umeingia leo?Wakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
Kwani mnapataga trh ngapi huo mshahara?maana trh 30badoWakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?