Waarabu wana undugu na umoja kwenye kumshambulia Israel tu lakini nje ya hapo hawataki wapalestina wala Hezbollah kuhamia nchi zao kwasababu wanajua ni tatizo kubwa, Fikiria mtu anafurahia kujitoa muhanga utaweza kumruhusu atumie hata choo cha nyumbani kwako ?Hawa si ndugu moja ama