Tanzania and Kenya launch coordinated crackdown on planned Saba Saba protests

Tatizo wengi tupiga kelele nje ya uwanja wa mapambano. Kwani nini kinakataza mtu ambaye yupo nje ya Tanzania kupanda ndege na kuingia nchini kabla ya siku yenyewe. TUNAUZANA

Tuwe wakweli, Nyani Ngabu ulishahudhuria maandamano yoyote? Angalia watu kama Erythrocyte au Retired mbona juzi hamkujitokeza na mabango?
What’s your point?
 
Tuwashukuru walio nje ya nchi hata kwa hiyo moral support. Wangeweza kunyamaza na kuendelea tu kula bata huko waliko. Sisi tulio ndani ya nchi si ndio tunaofirwa na kupotezwa?

Kama unadhani the status quo is acceptable, well and good!
 
" Tatizo letu kubwa ni umaskini siyo Gen Z " - W. Ruto
 
Tuwashukuru walio nje ya nchi hata kwa hiyo moral support. Wangeweza kunyamaza na kuendelea tu kula bata huko waliko. Sisi tulio ndani ya nchi si ndio tunaofirwa na kupotezwa?

Kama unadhani the status quo is acceptable, well and good!
Nakubaliana na kuwashukuru kwa msaada wao ila ifike wakati nao hata akina Maria Sarungi waje front badala ya kuongelea nje, sisi wa ndani tunajitokeza, tunaumizwa na kufa wakati wao wapo salama. Kiongozi bora huonesha mfano.
 
Back
Top Bottom