Huko kwenye viwanja vya Saba Saba hali ikoje?

Vipi huko kwenye viwanja vya Saba Saba nini kinaendelea?

Maonyesho yanaendelea ?

Majibu tafadhali
hali ni shwari sana,
mamia kwa maelfu ya wananchi wanaingia na kutoka kwenye viwanja hivyo vya maonyesho kwa amani kabisa.

In fact maonyesho hayo yataendelea hadi July 13, na kupunguza msongamano, ikiwa unaweza kuja kesho au kesho kutwa itapendeza zaidi but hali ni shwari sana kwasasa, ila msongamano ni mkubwa zaidi ukilinganisha na vipindi vingine kama hivi.🐒
 
Mlipora uchaguzi na kuua watu mkadhani yataisha kirahisi. Hopeless kabisa.
 
hali ni shwari sana,
mamia kwa maelfu ya wananchi wanaingia na kutoka kwenye viwanja hivyo vya maonyesho kwa amani kabisa.

In fact maonyesho hayo yataendelea hadi July 13, na kupunguza msongamano, ikiwa unaweza kuja kesho au kesho kutwa itapendeza zaidi but hali ni shwari sana kwasasa, ila msongamano ni mkubwa zaidi ukilinganisha na vipindi vingine kama hivi.🐒
yako maeneo gani?
 
Na kwenye vyoo watu wamejaa? Hebu tujuze.
 
Maeneo mengi nchini ni kama mwaka mpya kwani maduka yamefungwa watu wengi wameitikia wito wa maandamano kwa staili ya kipekee sana na ni pigo kubwa sana kwa serikali ambayo haina ridhaa ya wananchi.
Bahati ilivyo mbaya kwa wanasiasa wetu wanaotawala, wala hawawezi kuona kama hii hali ni tatizo na hata wao wanajiweka hatarini.
 
Back
Top Bottom