Saba Saba: Plainclothes Police Arrest Protesters Amid Heavy Security in Nairobi

Saba Saba: Plainclothes Police Arrest Protesters Amid Heavy Security in Nairobi

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
414
Reaction score
259


Heavy police presence ilishuhudiwa maeneo mbalimbali ya Nairobi wakati wa maadhimisho ya Saba Saba, hali ambayo ilichangia turnout ndogo ya waandamanaji huku wengi wakiamua kutoshiriki maandamano.

Katika video inayosambaa mtandaoni, plainclothes police officers wanaonekana wakiwakamata baadhi ya waandamanaji waliokuwa wamekusanyika kando ya Harambee Avenue na kuwaingiza kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo.

Barabara nyingi za katikati mwa jiji zilikuwa chini ya ulinzi mkali wa polisi, huku maafisa wa usalama wakidhibiti movement katika maeneo muhimu ya serikali. Ingawa kulikuwa na wito wa maandamano, idadi ya waliojitokeza ilikuwa ndogo kutokana na security deployment kubwa.

Bado haijathibitishwa rasmi idadi ya waliokamatwa kwenye tukio hilo wala kama wamefunguli.

Source: Buzzroom kenya
 
Back
Top Bottom