Kwa mujibu wa katiba yetu hii yenye mapungufu mengi, wasimamizi wakuu wa sheiia ni Polisi, na chombo cha kutafsiri sheria hizo ni Mahakama.
Sheria ndiyo inayoonesha haki yako na isiyo yako. Kwa hiyo taasisi hizi mbili, Polisi na Mahakama ndiyo wasimamizi wa haki. Na hiyo ipo Duniani Kote...