rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joe Miles

    JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya Wahadhiri kuomba rushwa ya ngono. Je, suluhisho ni nini?

    Habari zenu wana JamiiForums Naomba kuuliza ama kutoa dukuduku; hivi kwanini baadhi ya Wahadhiri wa vyuo haswa Wahadhiri wa kiume wanakuwaga na tabia ya kuwadhalilisha wanachuo wa kike kingono sana, tena haswa linapokuja suala la mitihani na kutafuta courseworks Unakuta msichana/mwanamke...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ili kupunguza tetesi za rushwa, Jaji Mkuu na Mahakama iwaondoe au iwalipe vizuri wasaidizi wa Majaji

    Kiuhalisia, wasaidizi wa Majaji ndio huandika hukumu, mishahara yao midogo, na inabidi waendelee kuishi. Kuna tetesi kwamba wananchi wamefahamu kwamba hawa ndio huandika hukumu, zikiwemo za kesi za mauaji, na wanaishi mitaani na wananchi wa kawaida. Katika kuishi huko, basi Kuna tetesi kwamba...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa mitaa kutolipwa mishahara ndio chanzo cha Rushwa katika kutoa Huduma, na pia kukosa ofisi ya kufanyia kazi

    Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini. Hali hii ni tofauti kutokana na kuwa kuna baadhi ya halmashauri wenyeviti wa mitaa wanalipwa na Halmashauri...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

    Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013 Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha. Tatizo kubwa linaloiumiza...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

    Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani. Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa. Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp. Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana...
  6. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania Zahanati na Hospitali za Iringa vijijini zinanuka rushwa

    Tafadhali mkuu wa mkoa na wilaya ya Iringa, fanya uchunguzi kwenye zahanati za vijijini haswa Pawaga zinanuka rushwa! Baadhi ya wauguzi wamefikia hatua wanatoza wajawazito pesa kama hawana wanaandikia referral Iringa mjini wakafanyiwe operation kama kuwakomoa, watu wanalalamika hawana...
  7. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Katika kumuenzi Baba wa Taifa, tuyaangazie mashirika ama taasisi zinazofanya vizuri na yale yanayofanya vibaya katika suala zima la rushwa

    Mwalimu Nyerere hakupenda rushwa na Watanzania wengi hawapendi rushwa japo kuna taasisi za serikali zimeendekeza rushwa. Kwa kuwa JF ipo kwa ajili ya mawazo huru, naomba kwa uhuru wa mawazo yetu kwa uzoefu wa kila mtu tuzijadiri taasisi zetu kwa point mbili. Moja unadhani ni taasisi ama...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mko wapi? Mbunge Musukuma asema wavuvi Kanda ya Ziwa walioombwa rushwa na Luhaga Mpina wako tayari kutoa ushahidi

    Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao. Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU...
  10. B

    JamiiForums Tanzania RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi

    MHE. RIDHIWANI AZINDUA KIKAO CHA WENYEVITI MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA, ASISITIZA UADILIFU NA KUKEMEA VIKALI RUSHWA. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Aprili 05, 2022 amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Manara: Gongowazi ni watoa rushwa walifungiwa na CAF 1983 kwa rushwa kwa waamuzi

    Yes hii ni kwa wale wasiojua, utopolo 1983 walijaribu kuwahonga waamuzi wahabeshi wakaripotiwa CAf na kukutan ana rungu zito la kufungiwa, ni rekodi ya kipekee ambayo hawa jamaa hadi leo wanaishikilia. Jisomee mwenyewe hekima za msemaji wa team hiyo akikumbushia jinsi team yake ilivyoweka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanasiasa wanakula rushwa au rushwa ndio inawala wanasiasa? Vituko vimezidi

    Yawezekana kabisa mifumo ndio imeoza kwa rushwa hivyo wanasiasa wanapoingia katika uongozi wowote ule Rushwa ndio inayowakaribisha kama mwenyeji. Wafanyabiashara wakubwa ndio wanaoendesha hii dunia na ndio wanaotengeneza mifumo ovu ya kifisadi. Wewe jaribu tu kuwaangalia wabunge na madiwani...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Umagufuli ndio tiba ya kudumu ya maradhi ya ufisadi, rushwa na uzembe

    Nikikumbuka zoezi la mchakato wa awali la usaili kwa ajili ya ajira za TRA lilivyochukua muda mrefu nikaamini zoezi hilo lingekuwa na umakini mkubwa lakini sivyo zoezi hilo liligubikwa na uzembe, ufisadi na rushwa. Katika hali isiyitarajiwa kijana mmoja alijikuta akiongea kwa uchungu na kusema...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uwazi katika Utendaji wa Serikali: Nyenzo Muhimu ya Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Mapambano dhidi ya Rushwa

    Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rushwa na ufisadi bado vimekithiri katika nchi nyingi za Afrika licha ya jitihada zinazofanyika kuikomesha

    Suala la rushwa na ufisadi ni mambo linalosumbua duniani kote. Rushwa inatikisa katika mataifa mengi ulimwenguni yaliyoendelea na yasiyoendelea na ushahidi unaonyesha kuwa rushwa inaumiza watu maskini kupita kiasi. Kwa mujibu wa makala iliyotolewa katika tovuti rasmi ya Serikali ya Afrika ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Harufu ya rushwa kuelekea ugawaji wa fremu stendi mpya ya mabasi Nyamhongolo (mkoani Mwanza)

    Wanajamvi, Habari zenu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni kama wiki imepita tangu mkuu wa mkoa( mhandisi Gabriel) alipo fika stendi mpya ya mabasi iliyoko nyamhongolo kwa ajili ya makabidhiano kati ya mkoa na mkandarasi. Wakati wa makabidhiano mkuu wa mkoa aligusia mchakato wa wilaya husika ya...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo: Soka la Tanzania haliwezi kuendelea kama hatupingi rushwa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo. "Rais wetu wa Awamu ya...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Viti Maalumu vishindaniwe kwa wananchi ili kupunguza mianya ya upendeleo na rushwa

    Hivi karibuni ilichapwa makala ya kitaaluma na Dk Victoria Lihiru, mhadhiri katika Chuo Kikuu Huria cha Dar es Salaam iliyojaribu kuonesha udhaifu uliopo katika mfumo wa kuwapata wagombea wa viti maalumu vya wanawake ambao kwa kiasi fulani umechangia kuibuka kwa mgogoro unaoendelea juu ya...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
Back
Top Bottom