rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ufanisi wa Bima za NHIF Tanzania

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza watoa huduma za afya Tanzania, lakini kuna swala nimelishuhudia ambalo sidhani kama lipo sawa. Binafsi nilipatwa tatizo la macho, nikaenda hospitali (ipo Dodoma) nikawa nimeonana na daktari kwa kutumia bima ya NHIF ambayo mimi ni mteja wao. Nilionana na...
  2. A

    KERO RITA (Vizazi na Vifo) na Ofisi za Uhamiaji - Tanga, simamieni taratibu na sheria muache kuomba rushwa. Mnaharibu na kudalilisha Taasisi

    Nawasalimu kwa jina la JMT! Ni imani yangu ujumbe huu utafika kwa wote, na kadhalika utawafikia Walengwa na mara Moja wataacha Tamaa na tabia zisizoridhisha.. Kwanza niwasifu baadhi ya Maafisa wa Serikali wanaofanya kazi kwa weledi sana, na kujituma na kuifanya sehemu ya kazi kuwa kama ni...
  3. J

    TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  4. A

    KERO Mamlaka ya Maji Kibaha kuna urasimu mkubwa sana

    Ukiomba kupata huduma ya kuunganishiwa maji DAWASCO Kibaha, uwe umejiandaa kifedha. Zoezi linaanza kumpata surveyor, bila elfu hamsini hatafika site. Ukishatoa hiyo hela na surveyor akapima zoezi. linalofuata ni kuingizwa kwenye mifumo yao hatimae upate Control Number kwa ajili ya kulipia...
  5. J

    Rushwa hushusha Ubora wa Elimu na Kuondoa Ari ya Wanafunzi Kusoma

    Ufisadi unaharibu ubora na upatikanaji wa huduma za elimu kwa kuvuruga upatikanaji wa elimu. Inawaathiri sana maskini, wakiacha watoto wanaokabiliwa na changamoto kutegemea huduma duni za elimu ambapo elimu kidogo inaweza kufanyika. Ina athari mbaya katika sehemu zote za elimu, kutoka...
  6. KERO DAWASA kuna rushwa kwenye ufungaji wa maji

    Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla), Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya. Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu October 2023 ila tukaambiwa kuna upungufu wa vifaa tusubiri. Tukasubiri hadi mwaka ukaisha tunaambiwa...
  7. A

    DOKEZO Uchunguzi ufanyike Kituo cha Polisi Ilula Iringa. Kuna viashiria vya RUSHWA kukithiri na kusababisha ucheleweshwaji wa huduma

    Nilipokea taarifa ya kifo cha baba baada ya kupata ajali ya pikipiki Februari 2024. Nililazimika kuahirisha mitihani ya chuo iliyokuwa imeanza siku mbili kabla ya kupata taarifa ya kifo cha baba. Nikarejea nyumbani kwaajili ya mazishi ya baba na taratibu zingine ikiwemo ufatiliaji wa hati ya...
  8. Utafiti: Masikini wana uwezekano Mkubwa wa kutoa Rushwa kupata huduma za msingi kuliko matajiri

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Shirika la Kupinga Rushwa na Ufisadi la Transparency wa Mwaka 2013 uliohusisha kuangazia mitazamo mbalimbali ya watu kuhusu Rushwa, watu wenye hali duni ya Kiuchumi na wanakabiliwa na athari za rushwa kwenye huduma za Umma kwa kiwango kikubwa zaidi. Utafiti...
  9. Kushindwa au kutokuwa tayari kudhibiti Rushwa kwenye Upatikanaji wa Huduma za Kijamii kunaweza kuchukuliwa kama kushindwa kulinda Haki za Binadamu

    Huduma za Kijamii zimefungamanishwa na Haki Msingi za Binadamu kwa mujibu wa Kifungu cha 21(2) cha Azimio la Kimataifa la Haki Za Binadamu kinachosema 'Kila Mtu ana Haki ya kupata Huduma za Kijamii katika Nchi yake' Aina fulani za Rushwa katika utoaji wa Huduma za Kijamii (kama kuleta Siasa...
  10. J

    Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

    Rushwa ya Ngono inahusisha Dhuluma na Unyanyasaji, na inakiuka Haki za Binadamu na Heshima ya Watu. Aina hii ya Rushwa hutumia nguvu ya Kisaikolojia kumshawishi Mtu kutoa Mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Matokeo mazuri Chuoni, Unafuu wa Kazi, Kupanda Cheo...
  11. S

    Nashauri tuigeuze rushwa kuwa ni chanzo halali cha mapato ndani ya taasisi (Fast Corridor)

    Ndugu wapendwa! "Ukitaka kuokoka lazima utambue uwepo wa shetani kwanza" Siyo kwa ubaya ukweli ni kwamba Rushwa ipo ndiyo maana tuliunda taasisi ya kupambana na rushwa! Huwezi kupambana na kitu ambacho hakipo! Siku moja nikiwa nafanya kazi yangu ya ufundi umeme bosi wangu akanitania kwa...
  12. Rais wa Liberia aunda Kikosi cha Kudhibiti Rushwa na kurejesha Mali zilizoibwa Serikalini

    LIBERIA: Rais Joseph Boakai ametangaza kuunda Kikosi Kazi kitakachokuwa na jukumu la Kukabiliana na Vitendo vya Rushwa pamoja na kurejesha Mali za Serikali zilizoibwa kifisadi. Kupitia tangazo hilo, Rais Boakai ameagiza Kikosi hicho kumtafuta Afisa wa ngazi yoyote aliyehusika na Rushwa kutoka...
  13. Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala. Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi. Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao. Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
  14. Wasiwasi wazuka Yanga kuhusu Joseph Guédé Gnado na Miguel Gamondi

    Katika mechi za hivi karibuni, utendaji wa Joseph Guédé Gnado na Miguel GAMONDI katika Young Africans SC umewatia shaka mashabiki na wachambuzi pia. Licha ya kuwa wachezaji muhimu kwa timu, kuna shaka za rushwa zinazozunguka uteuzi wao kwa mechi kubwa, hususan kwa Guédé. Uwezo wa Guédé ni...
  15. Sheria inazuia kumtaja kwa jina, makazi au anwani ya mtu aliyetoa taarifa

    Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007 kinatamka kila mtu mwenye taarifa kuhusu kufanyika kwa vitendo vya rushwa au mpango wa kufanyikwa kwa vitendo vya Rushwa anawajibika kutoa taarifa kwa TAKUKURU. Ukikosa huduma katika mazingira ya Rushwa, Sheria hiyo...
  16. J

    Hali ya kiwango cha Rushwa nchini Tanzania

    Kuna vigezo kadhaa vinavyotumiwa kuangalia kiwango cha rushwa katika nchi. Hizi ni pamoja na: Transparency: Kiwango cha uwazi katika shughuli za serikali na taasisi za umma ni kigezo muhimu cha kuangalia rushwa. Nchi ambazo zina mfumo mzuri wa kufanya maamuzi kwa uwazi na kuchapisha taarifa za...
  17. Lilivyo Kundi D kwa sasa katika CAFCL ndiyo hao hao Wawili wa Juu watakaofuzu na Wengine watafuzu tu Kushinda Tano Tano za Rushwa Ligi yao ya Nyumbani

    Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita /...
  18. DKt. Nchimbi: Wasiotimiza wajibu wao, wabinafsi, siku zao zinahesabika

    Awataka wanaosuasua kukaza buti Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
  19. Ridhiwani Kikwete: Vita dhidi ya rushwa ni agenda endelevu

    Maneno hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali lililoulizwa Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Mbuli Mjini Ndg. Zacharia Isaay aliyetaka kujua serikali imejipangaje kujenga ofisi za TAKUKURU nchini. Pamoja na majibu ya swali...
  20. Mbeya: Afisa Mtendaji kizimbani kwa kuomba na kupokea rushwa ya TZS 200,000

    Afisa Mtendaji Kata ya Lusungo, Bw. Edestus Clemence Ndunguru, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya TZS 200,000/= ili amsaidie mwananchi kuongea na askari polisi waweze kumpa dhamana katika Kituo cha Polisi Ipinda. Akisoma shtaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…