Rufaa is an ethnic group in Sudan. They speak Sudanese Arabic. The population of this group is at several 100,000. Most persons in this minority are Muslims.
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri
===
Rais Samia alipunguza bei ya...
Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa
Derek Chauvin amedai kulikuwa na masuala kadhaa na waliotoa Hukumu dhidi yake, na Kesi haikupaswa kusikilizwa Minneapolis...
Tumewasikia hao mawakili wa Serikali wakikata rufaa kwenye kesi ya Mbowe, iliyopo Mahakama Kuu, wakidai kuwa hao mawakili wa upande wa utetezi, eti hawakufuata utaratibu Katika kufungua maombi hayo!
Imekuwa ni kawaida kwa hao mawakili wa serikali kufanya hiyo ninayoiita "delaying tactics"...
Hapa chini ni Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa eneo la Mitengo, Mtwara ambayo ujenzi wake umefikia 98% kwa gharama ya TSH Bilioni 15.8 ambapo itawekwa jiwe la msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Julai 26, 2021...
Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho.
Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa)...
Leo mheshimiwa rais Samia amesikika akisema kuwa hataki kuona rufaa ya mtumishi wa umma ikiletwa kwake baada ya kuwa imeshaamuliwa na Tume ya utumishi wa umma.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, kwa mujibu wa sheria yeye ni mkuu wa utumishi wa umma na pia ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya...
Inategemewa na vilevile kutumainiwa sana na kila mwananchi kuiona mahakama kama chombo kitukufu, kinachoaminika na chenye; weledi kiutendaji, chenye maadili, na mfano wa kuigwa kiuwajibikaji panapo hitaji hilo.
Pamoja na kuwa ni muhimili unaojitegemea, yanayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya vituo...
Niliwahi kuandika mwaka 2016 kumsihi Mheshimiwa Rais Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwamba asizihamishe Hospitali za Rufaa za Mikoa kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya, kwa sababu Hospitali hizi zilinufaika zaidi kiutawala zilipokuwa chini ya TAMISEMI...
Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WAPATA USHINDI MKUBWA MAHAKAMA YA RUFAA LEO
Hukumu ya rufaa ya Jamhuri dhidi ya Masheikh imesomwa leo katika Mahakama ya Rufaa Tanzania.
Majaji watatu wa Mahakama hiyo wametupilia mbali rufaa ya upande wa Jamhuri ya kutaka...
Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa.
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho ya kumvua mtu uanachama endapo hajaridhika na utaratibu...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WAITWA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA
Habari njema. Baada ya Jamhuri kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuyafuta mashitaka 14, kati ya 25, na kufanya kesi dhidi ya Masheikh ibaki na mashitaka 11, Mahakama ya Rufani leo...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH
Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh.
Baada ya uamuzi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.