rufaa

Rufaa is an ethnic group in Sudan. They speak Sudanese Arabic. The population of this group is at several 100,000. Most persons in this minority are Muslims.

View More On Wikipedia.org
  1. kmbwembwe

    Eti kandarasi ni shindani Rais hatakubali rufaa za waliokosa, watachelewesha kazi

    Kuna ile kamati ya tenda wasijifanye eti ni malaika watu wawaamini tu. Tenda sio jambo la kushindanishwa tu mwenye bei ya chini eti anapewa. Kuna umuhimu wa kamati kufanya utafiti sokoni ili kujua gharama halisi ya mradi wanaotangaza. Wakijidai wanaangalia nani mwenye bei ndogo wananchi...
  2. DogoWaNjombe

    Rufaa ya kina Sabaya yashindwa kuendelea leo Februari 20, 2023

    Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, imeshindwa kuendelea baada ya mawakili wa wajibu rufaa kuomba kufanya mapitio Mahakama ya...
  3. Roving Journalist

    Huduma za kibingwa za MOI kuanza kutolewa Hospitali ya rufaa Nkinga - Tabora

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) iko mbioni kusogeza huduma zake za kibingwa kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora na mikoa jirani katika Hospitali ya Rufaa ya Nkinga ili kuwaondolea wananchi usumbufu na gharama kubwa kufuata huduma hizo Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  4. DogoWaNjombe

    Sheikh wa Dar es Salaam aliyetenguliwa asema hana mpango wa kukata rufaa

    Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine. Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini...
  5. BARD AI

    Rufaa dhidi ya Sabaya kusikilizwa siku 5 mfululizo

    Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023. Rufaa hiyo namba 155/2022 mbali na Sabaya wajibu rufaa...
  6. Zakaria Maseke

    Amri ya kukazia hukumu haikatiwi rufaa (execution order or ruling is not appealable)

    AMRI YA KUKAZIA HUKUMU HAIKATIWI RUFAA: KALEBU KUBOJA MJINJA Vs SHADRACK DANIEL TEMBE, CIVIL APPEAL NO. 24 OF 2020. Hii kesi imetafsiriwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke, Advocate Candidate. FACTS (STORI YA KESI): Shadrack Daniel Tembe alimshtaki Kalebu Kuboja Mjinja kwenye Mahakama ya...
  7. BARD AI

    Rufaa dhidi ya Sabaya ngoma ngumu bado

    Rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi kesho Jumanne Desember 13, 2022. Rufaa hiyo ilikatwa na Serikali ikipinga hukumu ya kuwaachia Sabaya na wenzake watano iliyotolewa Juni 10,2022. Juni 10,2022 Sabaya na...
  8. BARD AI

    Hospitali ya Rufaa ya Tumbi kuanza kusafisha damu

    Wakati Serikali ikiweka mkazo katika huduma za kusafisha damu (dialysis), hospitali ya Rufaa ya Tumbi mkoani Pwani, inatarajiwa kuanza kutoa huduma hiyo Desemba 15, 2022. Hatua hiyo itapunguza adha ya rufaa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma ya dialysis katika hospitali hiyo ambapo kwa wiki watu...
  9. Raia Fulani

    Naweza kujisimamia rufaa mahakamani?

    Habari wakuu, Nina kesi inayohusu masuala ya ndoa. Tumefikia hatima mahalama ya mwanzo pale Stop Center Temeke. Mwenzangu kakata rufaa. Nimeambiwa na Hakimu kujibu hoja za upande wa pili wa maandishi. Ndio nauliza. Naweza kujibu mwenyewe? Najibu vipi? Mawazo yenu muhimu sana 🙏
  10. Voice of Tanzania

    HESLB wametoa majibu ya rufaa

    Naam ndugu zangu mliokua mnasubiri majibu ya rufaa HESLB teyari wameshayatoa pitieni sipa akaunti zenu mjionee
  11. BARD AI

    HESLB yafungua dirisha rufaa za mikopo Elimu ya Juu

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa viwango vya mikopo kulingana na uhitaji wao. Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB...
  12. figganigga

    HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  13. N

    Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

    Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
  14. BARD AI

    Jebra Kambole: Tutakata Rufaa kesi ya kuondolewa wafugaji Loliondo

    Akitoa ufafanuzi wa uamuzi uliotolewa na EACJ, Wakili Jebra Kambole amesema kesi hiyo ni ya “Uvamizi wa Serikali” unaodaiwa kufanywa mwaka 2017 na haihusiani na ‘Mateso ya Wamasai’ ya Juni 2022 ambayo ameeleza kuwa kesi yake GN 421 ya mwaka 2022 bado ipo Mahakamani. Kambole amesema wameona...
  15. Kalpana

    DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) angalieni roho za watu

    Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu naowafahamu, wakapelekwa general abiria mmoja kati ya waliopata ajali alifika hapo hospital akiwa...
  16. Checnoris

    Utaratibu ukoje kukata rufaa high court

    Mgogoro wa Ardhi. Jamaa amepewa ushindi mahakama kuu, awali nilishinda kesi mahakama ya Ardhi. Yeye alikimbilia high court, akapewa ushindi. Hapa natakiwa nifanyeje. Msaada wa utaratibu. Ninahofia atakuja kubomoa nyumba yangu
  17. BARD AI

    Kenya2022 Jaji Othman Chande kuongoza Majaji waangalizi wa Pingamizi la Urais

    Kundi la Majaji na Wanasheria mashuhuri ambao ni wanachama wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika limewasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kisha kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya Pingamizi la Urais katika Mahakama Kuu. Ujumbe huo unaongozwa na Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu...
  18. DogoWaNjombe

    Binti wa Dos Santos akata rufaa kupinga mwili wa baba yake kuzikwa Angola, ataka azikwe Hispania

    Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili urejeshwe Angola kwa maziko. Dos Santos aliyeshika madaraka 1979-2017 alifariki Julai 8, 2022...
  19. Miss Zomboko

    Mahakama ya Malaysia kusikiliza rufaa ya mwisho ya Waziri Mkuu wa zamani

    Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imeeleza leo kwamba itasikiliza ombi la mwisho la Waziri Mkuu wa zamani Najib Razak la kubatilisha hukumu ya kifungo chake cha miaka 12 jela kwa tuhuma za ufisadi, na kuwa kuachiliwa kwake kunaweza kusafisha njia ya kurejea madarakani. Mahakama hiyo...
  20. cupvich

    SoC02 Hospitali za Rufaa kuwaachia majukumu yote ya kitabibu wanafunzi wa udaktari pasipo usimamizi wa kutosha - chanzo cha vifo vingi

    UTANGULIZI Nikiwa wodini nauguza mgonjwa wangu katika moja ya hospitali kubwa ya Rufaa nchini, Nilimsikia daktari mmoja akitumia lugha ya kiingereza kuwaambia wanafunzi wanao somea udaktari ambao walikuwa wakitoa huduma kwa mgonjwa aliyekuwa kitanda cha pembeni na alicho mgonjwa wangu maneno...
Back
Top Bottom