Tetesi: Hospitali ya rufaa Mbeya yazuia maiti ya Eliezer Solomon Njole iliyopo Mochwari inayodaiwa Tsh.1,300,000/=

muta ngegi

Senior Member
Sep 7, 2016
147
91
Habari za mchana Wadau!

Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.

Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa.

Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni. Marehemu yasemekana ni Mzaliwa wa Kijiji cha Kyimo, Kilichopo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
 
Habari za mchana Wadau!

Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.

Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa.

Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni.Marehemu yasemekana ni Mzaliwa wa Kijiji cha Kyimo,Kilichopo Wilayani Rungwe Mkoani Rungwe.

Mbeya wamenyaza kimya kuhusu hizi tetesi
 
Habari za mchana Wadau!

Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.

Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa.

Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni.Marehemu yasemekana ni Mzaliwa wa Kijiji cha Kyimo,Kilichopo Wilayani Rungwe Mkoani Rungwe.
Mkuu wa mkoa wa Rungwe anaitwa nani vile.
 
Habari za mchana Wadau!

Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.

Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa.

Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni.Marehemu yasemekana ni Mzaliwa wa Kijiji cha Kyimo,Kilichopo Wilayani Rungwe Mkoani Rungwe.
Hata mbu hawezi kufanya hivi.. Atakunyonya damu wee lakini ukifa hakunyonyi tena! Serikali yetu inashindwa utu na mbu.. Huwezi asilani kuidai maiti
 
Haipendezi lakini dawa ya deni ni kulipa tu, ndugu wajichangishe pesa ili wakaikomboe maiti ya ndugu yao na kumsitiri.

Kama hospitali ilimdhamini kwa kumpa matibabu kwanza ili hapo baadaye akipata pesa alipe, sasa amefariki, ndugu wabebe huo mzigo.

Tz ya mama Samia hakuna cha bure, kama huna pesa unaweza ufe na maiti yako ikaendelea kudaiwa.
 
Kumbe ccm ndiye aliyepost au ccm ndiye aliyekufa?

Nilijua ni mtanzania tuu
hizo hospitali ziko chini ya Nan kitawala ccm endelee kulaaniwa kiserikali chake kipeleke ruzuku eneo Hilo mwananchi apunguziwe mzigo ,hivyo tu sahizi utaelewa nilimanisha nn mama daudi
 
Umejibu nini sasa😂😂😂

Au hukujua tulichokua tunauliza ni uthibitisho wa hizi tetesi??

Watuthibitishie kwanza ndio ubwage hizo lawama zako kwa watawala
 
Hakuna kiongozi wa Hospitali anaeweza kuwa na roho mbaya kiasi cha kuzuia maiti. Kuna tatizo kwenye mfumo wetu wa utoaji huduma....Hizi Hospitali zote unazoziona zilizo chini ya Wizara Afya, Zimepewa malengo ya makusanyo ya mapato kwa mwaka wa fedha husika. [Rejea Bajeti ya Wizara].

Hivyo, wanachokifanya viongozi wa hospitali ni kuhakikisha wanafikia malengo/kuya karibia. Hivyo inawabidi kupunguza kadiri inavyowezekana kutoa misamaha ya bili za matibabu kwa wagonjwa. Otherwise, hawa wanasiasa uchwara, watarudi tena kuwaambiwa wameiba hela kwenye misamaha ya matibabu.
 
Back
Top Bottom