Marekani: Aliyehukumiwa kwa mauaji ya George Floyd kukata rufaa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa

Derek Chauvin amedai kulikuwa na masuala kadhaa na waliotoa Hukumu dhidi yake, na Kesi haikupaswa kusikilizwa Minneapolis. Amesema Jaji alitumia vibaya nafasi yake

Mauaji ya Floyd yalisababisha maandamano makubwa kupinga Ubaguzi wa Rangi na ukatili wa Polisi

======

The former Minneapolis police officer convicted of the murder of African-American man George Floyd in 2020 says he will appeal against his conviction.

Derek Chauvin, who is white, says there were issues with the jury at the trial and that it should not have taken place in the US state of Minneapolis.

Chauvin was sentenced to over 22 years in jail after kneeling on Mr Floyd's neck for more than nine minutes.

His death sparked mass protests against racism and police brutality in the US.

According to court documents filed on Thursday, Chauvin alleges that the trial judge abused his discretion at several key points of the case, including denying a request to postpone or move the hearing from Minneapolis due to pre-trial publicity.

The former officer said he had no legal representative for the appeal process as the Minnesota police department's "obligation to pay for my representation terminated upon my conviction and sentencing", the Associated Press news agency reports.

Source: BBC
 
Na si ajabu hata hizo hoja anazokatia rufaa ziliwekwa hivyo kimkakati ili wapate pa kusimamia, kwanza suala la kumfunga tu miaka 22 lenyewe linanichosha.
 
Back
Top Bottom