riwaya

  1. mBONEASenior

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
  2. mBONEASenior

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Vita: SHADOWS OF WATER (Maji Maji)

    CHAPTER 1 South Tanganyika, Early 1899 An early morning, I think it was probably way too early than usual for me since the sun was barely out and shining through the thick tree that surrounded our village made up of probably fewer than fifteen households living in straw houses with...
  3. SIMULIZI RIWAYA

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Sasha Mlinzi wa Nafsi - 1

    SASHA MLINZI WA NAFSI. Sehemu ya............1-2 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI... Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
  4. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Je Ni Uzi/Riwaya Gani Yenye Mafunzo?

    Tupo wengi humu, uzi upi unaofuatilia humu JF ulio na mafunzo ndani yake na wenye kuburudisha? Au ni riwaya gani unaifuatilia humu ni nzuri na yenye mafunzo na maadili mazuri? Karibu unijuze
  5. Dotonho

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Kama Mama Yangu

    Habari member wa JamiiForums ningependa kuwaleteeni Riwaya ya ndugu mwandishi Kelvin kagambo ili tuelimike na kubuludika pamoja. ======== RIWAYA: MWANAMKE KAMA MAMA YANGU MTUNZI: KELVIN DONATUS KAGAMBO SIMU: 0713 48 28 16 FACEBOOK: KEV CLEVER KAGAMBO SEHEMU YA KWANZA (1) "Vuta picha...
  6. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mzalendo Kizimbani (Mwalimu Makoba)

    Angalizo: Nchi inayotajwa kama Nchi yetu, haina uhusiano wowote na nchi ya Tanzania. Sehemu ya Kwanza Komandoo Mako alikimbia akiwa kashika kidege kidogo kisichokuwa na rubani, baada ya umbali fulani, akakiachia nacho kikapaa peke yake. Pembeni alilala Komandoo Bwii, huyu alikuwa na kitu mfano...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutoa tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha 2022/23

    Serikali imeunda kamati maalum inayoongonzwa na Prof. Penina Mlama kwa ajili ya kuweka utaratibu wa kutambua na utoaji tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha 2022/23. Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) wakati wa...
  9. THE SPIRIT THINKER

    JamiiForums Tanzania Riwaya na hadithi za John Wisse zote mpya utazipata hapa

    UZI HUU NI MAALUM KWA AJIRI YA KUSOMA NA KUPATA RIWAYA ZA JOHN WISSE. UKIHITAJI KITABU CHOCHOTE UTAKIPATA KWA KUULIZA HAPA NAWE UTAJIBIWA HARAKA NA KUPATA KILE UNAKIHITAJI.
  10. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta

    Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta Mwandishi: Mwalimu Makoba Sehemu ya Kwanza Nilipita siku ya Jumatatu huko Mwananyamala katika nyumba za ndani sana. Baada ya kuvuka mitaro mitatu, nikaona nyumba iliyokuwa na baraza kubwa. Hapo barazani alikaa binti mrembo sana ambaye kwa uzuri wake...
  11. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mfalme Anataka Kuniua

    Msisitizo: Riwaya imekamilika, kila siku itakuwa inatumwa sehemu moja mpaka itakapoisha. Hakuna longolongo, hakuna kuchelewesha wala hakuna kununua. Mfalme Anataka Kuniua | Sehemu ya Kwanza Mwandishi: Mwalimu Makoba Mako alijibanza katika kichaka cha kijani. Mbele alitazama kundi kubwa la...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

    Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili. Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya Kijasusi: Mlio wa Risasi Harusini

    RIWAYA: MLIO WA RISASI HARUSINI Mtunzi: Robert Heriel WhatsApp 0693322300 Akajitazama kwenye kioo kikubwa cha kabati akiwa chumbani kwake. Kila alipojitazama hakuona kasoro yoyote katika mwili wake. Aligeuka huku na huku akiendelea kujitazama. Macho yake yalimuambia yeye ni...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi maana, sifa, historia na aina za Riwaya ya Kiswahili

    Maana ya Riwaya kwa ujumla Riwaya ni masimulizi ya kubuni ya kinathari yenye msuko au mpangilio fulani wa matukio au ploti inayofungamana na wakati au kusawili wakati na yenye visa vingi vivavyotendeka katika wakati fulani na yenye mawanda mapana yenye mchangamano wa dhamira, visa na wahusika...
  15. GITWA

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Jina langu ni Pheady

    MTUNZI : SELOPHEADY H. MAGEMBE HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA Huruhusiwi kunakili au kutumia sehemu ya hadithi hii bila ruhusa ya mwandishi. Nilikua nimehitimu masomo ya shule ya upili na kuchaguliwa kwenda kusomea ualimu katika chuo cha ualimu.Hii ilikuwa ni miaka ya 1990 hivi, ualimu ni kazi ambayo...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sikukukataa mwanangu; Umasikini ulifanya mama yako anikimbie

    SIKUKUKATAA MWANANGU; UMASIKINI ULIFANYA MAMA YAKO ANIKIMBIE. Kwa Mkono wa, ROBERT HERIEL. © maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. Taikon wa Fasihi Anawasilisha "Sasa nimebaki Peke yangu, hata waliowangu hawanitaki, sio wangu tena, ingawaje ni Mali yangu kiasili lakini dunia...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kiu Ya Haki

    Wapenzi wa Riwaya Za Upelelezi kuanzia leo tutawaletea mfululilizo wa Riwaya ya Kiu ya Haki
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya kipelelezi: Wakala wa Siri

    RIWAYA: WAKALA WA SIRI Mtunzi; Robert Heriel 0693322300 Episode 01 MAABARA YA BORETI. Jokofu maalumu kwa ajili ya kuchunguzia maiti lilikuwa limezungukwa na Madaktari bingwa wa maswala ya uchunguzi, ndani yake ilikuwepo maiti iliyofungwa kwa karatasi jeupe la nailoni. Ilikuwa ni maabara ya...
  19. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya beka mfaume: The godfather

    TRENI ya abiria kutoka bara iliwasili kwenye Stesheni ya Dar es Salaam majira ya saa tano asubuhi. Kuwasili huko kuliwafanya baadhi ya watu waliokuwa wakisubiri, kuanza kuangalia kwenye madirisha ya mabehewa ili kuwaona wageni wao. Treni hiyo iliposimama kukaligeuza eneo hilo kuingia kwenye...
  20. Logikos

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    Utangulizi Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo… Nasogea kwenye bustani na kuketi napigwa na upepo mzuri naona wanafamilia wakitembea kutoka makwao kuelekea...
Back
Top Bottom