riwaya

  1. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Maamuzi Magumu

    JINA: MAAMUZI MAGUMU MTUNZI: CHIAMARO MOKIRI HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA. NI MARUFUKU KUNAKILI AU KUSAMBAZA KAZI HII BILA RUHUSA YA MAANDISHI KUTOKA KWA MWANDISHI. HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA KWA YEYOTE ATAKAYETHUBUTU. SEHEMU YA KWANZA JACK REACHER ALIAGIZA kahawa vikombe viwili vya take...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya kichawi- Mama Usinifundishe Uchawi

    MAMA USINIFUNDISHE UCHAWI. SEHEMU YA KWANZA “Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Kibaoni, na kijiji cha Maharaka. Anga yote ilikuwa imetanda kuashiria mvua saa yoyote inanyesha. Hali ya hewa si shwari baridi lilikuwa kali kupita maelezo. Ardhi baada ya muda ukali wa jua...
  3. Six Man

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Matairi meusi ya ndege ya shirika la ndege la kimataifa la Kenya (Kenya airways) yaligusa taratibu katika ardhi ya uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es salaam. Abiria wengi walianza kushuka katika ndege hiyo kwa kutumia ngazi ndefu nyeupe iliyotokea baada ya...
  4. THE SPIRIT THINKER

    JamiiForums Tanzania Tuzo za waandishi wa riwaya, tungo na mashairi

    TUZO YA KISWAHILI YA MABATI-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA: 2021 Utaratibu wa Kushiriki Tunafurahi kuwajulisha utaratibu wa kushiriki katika mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika yanayoingia mwaka wake wa sita. Tuzo hii, iliyoanzishwa mwaka wa 2014 na Dkt. Lizzy...
  5. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Weka wazo au kisa ambacho ungependa kiandikwe kama Riwaya au hadithi fupi?

    Habari, wapendwa. Uandishi wa riwaya na simulizi ni kazi ngumu na nyepesi kwa wakati mmoja! Ngumu kama mwandishi anatazamwaa na rundo la karatasi nyeupe huku akiwa na kalamu bila uhakika anaanzia wapi. Uandishi pia ni mwepesi kama mwandishi ana 'sense' ya angalau pointi A, B na C kabla...
  6. Dam55

    JamiiForums Tanzania Riwaya: KITISHO

    FILM: KITISHO MTUNZI: Richard MWAMBE 1 Mbowe club saa 1:23 usiku RADI kali ilipasua anga na kufanya mchoro wa kutisha, mwanga wake ulilipoteza giza kwa sekunde kadhaa, kila kilichojificha kilionekana wazi. Hakuna mtu hata mmoja aliyekuwa nje muda huo. Ni mvua kubwa na ngurumo za kutisha...
  7. Xav Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 01 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- UTANGULIZI; MAPENZI ni moja kati ya njia ambayo kila binadamu anapaswa apitie. Ni njia ambayo haina muonekano halisi ambao unajulikana. Kila mtu anaonja radha yake katika...
  8. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Senyenge

    JINA: SENYENGE MWANDISHI: CHIAMARO MOKIRI MAWASILIANO: Chiamaro.llc@gmail.com / +255 (0)763 170 858 UTANGULIZI. Maisha ya Hook Hobie yalikuwa na siri nzito aliyoificha kwa zaidi ya miaka thelathini. Uhuru wake, Wadhifa wake, Mali zake na kila kitu alichokimiliki kilitegemea siri yake hiyo. Na...
  9. Dam55

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Janga

    RIWAYA: JANGA MTUNZI: richard MWAMBE SEEMU YA 1 I Saa 5: 7usiku… DAR ES SALAAM MVUA ILIYOAMBATANA NA RADI iliendelea kunyesha kwa hasira katika jiji la Dar es salaam, hakukuwa na nyota hata moja iliyong’aa siku hiyo wala mbalamwezi yenye nguvu ya kulishinda wingu zito lililofunga anga la...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye Riwaya ya Rosa Mistika - ( Euphrase Kezilahabi) anisaidie niisome tena

    Nikiwa darasa la Sita nilisoma riwaya hii, wakati huo dadangu alikuwa form one Msalato Girls school - nilipata nafasi ya kumhadithia yote, na nilimsisitiza mno pale Rosa alipoanza kulewa na kufukuzwa shule. Nilitumia riwaya hii kumfikishia dadangu ujumbe !! Ni miaka mingi imeshapita, nataka...
  11. Abubakari M N

    JamiiForums Tanzania Kinukamito na Chanikiwiti

    ONYO Hairuhusiwi chini ya miaka 20 UTANGULIZI Kinukamito, ni mwanamke asiyedumu katika mahusiano au ndoa kutokana na sababu mbali mbali. Kusema ni mwanamke ambaye hudhaniwa ana mkosi kutokudumu kwenye mahusiano, waaidha, Mwanamke Chanikiwiti ni yule anayetumia uzuri wake kupata atakacho. Katika...
  12. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa waandishi /watunzi wa riwaya

    NAFASI YA KAZI *Mwandishi wa Riwaya na Simulizi za mapenzi* Wasiliana nasi kupitia *0764 872249*
  13. Dam55

    JamiiForums Tanzania Riwaya; Mauaji ya kasisi

    RIWAYA: MAUAJI YA KASISI MTUNZI: richard MWAMBE Simu: +255 766 974865 UTANGULIZI MAUAJI YA KASISI © Richard Richard Mwambe Ni kizaazaa katika jiji la Nairobi, Kasisi wa kanisa katoliki anauawa katika lango kuu la kuingilia kanisani hapo mapema alfajiri. Sajini Maria na wasaidizi wake...
  14. Dam55

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Paspoti ya Gaidi

    Riwaya: Pasipoti ya Gaidi part 1 Mtunzi: Richard Mwambe Pasipoti ya Gaidi: Hujuma na Uzandiki Sura ya I Ikulu – Dar es Salaam Saa 10:30 Alfajiri Wakati giza likijiandaa kutoweka na kuipisha nuru ya asubuhi, miti yote ilikuwa imetulia kana kwamba kuna aliyeiambia ifanye hivyo. ni tausi mmoja...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

    Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi, Tumeingia chimbo kuvisaka, kuvipitia na kuviweka mfumo wa nakala rahisi (softcopy) unayoweza kuipata kwa...
  16. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Mume Gaidi

    Riwaya: MUME GAIDI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Ilikuwa ni kipindi cha mvua za masika, na siku hiyo mvua ilikuwa inanyesha. Kijana Patrick alikuwa ndani na mama yake bi. Deborah, hoja ya Patrick ilikuwa ni moja tu kuhusu baba yake mzazi. PATRICK...
  17. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Sauti Yake Masikioni Mwangu

    Riwaya ya Kijasusi: SAUTI YAKE MASIKIONI MWANGU Mwandishi: KELVIN KAGAMBO Imeletwa Kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 “..... na sasa ni zamu yako. Sali sala za mwisho tufunge mkataba.” “Lakini braza Jisu haya yote yanatoka wapi? Kosa langu nini?” “Unaleta dharau sio? Hujui kosa lako au...
  18. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kasri ya Mwinyi Fuad

    RIWAYA: KASRI YA MWINYI FUAD MWANDISHI: ADAM SHAFI ADAM IMELETWA KWENU NA: BURE SERIES SEHEMU YA 1 KIJAKAZI alizaliwa kutokana na ukoo wa kitumwa. Baba yake na mama yake walikuwa ni miongoni mwa watumwa watiifu sana wa Bwana Malik na kama wao, Kijakazi alinuia kuwa mtumishi wake mtiifu kabisa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Wahuni Wote Peponi

    Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati Imetolewa: Mei, 2020 Mawasiliano: 0713538427 MOJA MIADI! Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...
  20. Abubakari M N

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kinu cha Mama

    KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
Back
Top Bottom