riwaya

  1. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Baamedi wa Sinza Mori

    BAAMEDI WA SINZA MORI BY SELEMANI SELE NO 1. Maisha n safari na huwez jua kesho yako mungu kaipanga kwa namna gani. Naitwa marry nimezaliwa mm na mdogo Wangu wa kiume pekee,nilipofika kidato cha tatu baba alifariki na wakati huo mdogo wangu alikuwa darasa la sita. Kiukwel maisha ya nyunban...
  2. Brodre

    JamiiForums Tanzania Riwaya: SIN

    Kabla sijaanza naomba niwahakikishe kwamba hii story nimepewa ruhusa na mwandishi kupost humu. Kila siku ntakua napost na nawahakikishia story itaisha kabisa. Pia hadithi kama hizi zinapatikana katika app ya Kahawatime SIN 01 Muandishi…………………………………………….EDDAZARIA G.MSULWA(G.Authour) Age...
  3. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania SOFTCOPY YA RIWAYA MPYA ELFU 3 TU.

    KATIKATI nguvu ya KIAPO. Muuguzi aliyesalia nami katika chumba kile cha matibabu, haraka sana alinikimbilia na kuniita jina langu. Alitabasamu na kuniambia "karibu" binafsi nilizidisha mshangao, "Dakitari wako anakuja sasa hivi, naomba usijitikise mwili tafadhali" machozi yalianza...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Riwaya; CONNECTION

    RIWAYA YA CONNECTION Mtunzi: Robert Heriel Mwaka 2024 Riwaya; CONNECTION Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi: Facebook: Robert Heriel Tz Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli WhatsApp +255693322300 Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. Hairuhusiwi kunakili na...
  5. Jacky collection

    JamiiForums Tanzania Tunauza vitabu vya fursa za kidigitali na riwaya mbalimbali karibuni

    Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni 👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato 👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number 0684861947 / 0692436124
  6. L

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa riwaya wa China wakuza mawasiliano ya fasihi kati ya China na Afrika

    Mwandishi wa vitabu vya riwaya Abdulrazak Gurnah ambaye ni mzaliwa wa Zanzibar na sasa akiwa anaishi Uingereza, amekuwa gumzo kubwa duniani tangu wakati aliposhinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021. Sifa ya mwandishi huyu mwenye umri wa miaka 75 imesambaa kila mahali duniani na zaidi kuwafikia...
  7. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Msaada wa muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro

    Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
  8. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Seven days in hell! (siku saba kuzimu)-1

    SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU) Episode-1 Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku damu nyingi zikiendelea kunitoka lakini maumivu makali yalinirudisha chini. Kwa kutumia...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tuache blablaa! Uandishi wa habari siyo riwaya

    Ameandika Jesse Kwayu wa Media Brains JUMATATU Februari 26, 2024 yaani mwanzo wa wiki hii taifa lilishuhudia jambo kubwa la kihistoria la kufanyika kwa jaribio ya safari za treni ya umeme kwenye reli ya standard gauge (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro. Ni tukio la kihistoria kwa maana...
  10. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Muuaji mwenye kofia nyekundu

    ..
  11. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya Kijasusi Mabaduni wa serikali

    Riwaya hii ni ya kubuni, hivyo mfanano wa matukio wa ndani ya Riwaya na maisha halisi unayoyaishi ni shabaha tu ya fikra za Mtunzi. Karibuni nyote kwa wingi MABADUNI WA SERIKALI Utangulizi Kila serikali ya taifa lolote hapa ulimwenguni ni lazima iwe na kikosi cha watu maalumu kwa ajili ya...
  12. gstar

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Biashara haramu ilivyosababisha mauaji

    Bado sijapata Title maalum ya hii Simulizi twende nayo hivyo hivyo. UTANGULIZI Kuna jamii ya watu iliyozuka na kuleta sintofahamu miongoni mwa jamii nyinginezo, watu wanaozisaka pesa kwa namna yeyote ile hata ikibidi kumkufuru mwenyezi Mungu, amini nakwambia si kila ukionacho kwa macho kuwa...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi watakuambia huyo alikuwa ni mmoja wa waandishi maarufu sana wa riwaya za kusisimua wa wakati huo, na...
  14. gstar

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Mzee wa Busara

    RIWAYA: MZEE WA BUSARA MWANDISHI - SULTAN TAMBA ANGALIZO, Riwaya hii ni ya zamani iliwahi kutamba kwenye magazeti ya kila wiki, leo nimewaletea mpate kuburdika. MWANZO NILIHISI kupagawa. Akili yangu ilikuwa mbali sana usiku huo. Sjiui mtanielewa nikisema kwamba nilikuwa kwenye ndoto katika...
  15. Jaya_lchemist

    JamiiForums Tanzania Wapenzi Wa Riwaya za Hayati Ben R Mtobwa

    Nisomapo kazi ya Mtobwa mimi huguswa na jinsi mwandishi huyu alivyocheza na lugha. Naam, anaelezea tukio kwa lugha inayovutia. Lengo langu ni mtu aliyeguswa na kazi fulani atupie kitabu huku au ataipu sentensi chache zilizomfurahisha. Njia hii itawasaidia waandishi waboreshe uwezo wao wa...
  16. Kenii

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kiza kinakutisha?

    UTANGULIZI Berlin, Ujerumani SONJA VERBRUGGE HAKUWA anafahamu kwamba leo ingelikuwa ni siku yake ya mwisho kuishi duniani. Alikuwa anatembea kwa taabu kuwapita watalii waliokuwa wamefurika kwenye barabara ya Unter den Linden. Usikurupuke, alijiambia. Lazima uwe mtulivu. Ile meseji ya ghafla...
  17. McCollum

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Hukumu Nzito

    SIMULIZI: HUKUMU NZITO GENRE: THRILLER MWANDISHI: YI BANG JI “Nataka tuimalize kazi kwa haraka,” aliongea Julius Fungo, huyu alikuwa kiongozi wa kikundi cha majambazi ambao walikuwa wakifanya matukio mazito ya uhalifu jijini Mbeya, kwa muda huu alikuwa akitweta na alikuwa analisogelea dirisha...
  18. rosmariini

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Dunia haina usawa

    .
  19. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania RIWAYA YA KUSISIMUA:- Vuta N'Kuvute - Shafi Adam Shafi

    Sura ya Kwanza Mara tu baada ya kuvunja ungo, Yasmin aliozwa mume. Alikuwa mume wa jamii yake ya Ithnashiria ambaye alikuwa akiishi jirani naye hapo Mtendeni. Alikuwa ni mume asiyelingana naye hata kidogo. Si kwa umri wala tabia kwani wakati Yasmin ni kigoli wa miaka kukmi na tano tu, mumewe...
  20. Jaya_lchemist

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Jiue Mwenyewe (Jimwangi)

    Simulizi ya kijasusi
Back
Top Bottom