Siku Wapiga Kura Walipomwambia Rais Nixon "Urais sio Ufalme na Ikulu ya Imperial Presidency kutikisika

Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,021
2,478
Screenshot_20200401-070905.png

Rais Richard Nixon, wa Marekani, alikuwa rais wa 37 wa nchi hiyo tangu 1969 hadi 1974 alipojiuzulu.

Alikuwa rais kwa tiketi ya chama cha Republic lakini akaongoza nchi kama rais mfalme.

Alipindua kanuni za somo la uraia zinazowambia watoto wetu shuleni kuwa dola inayo mihimili mitatu yenye nguvu sawa.

Aliendesha nchi akiwa amevaa kofia tatu kama mtunga sheria, mtekelezaji wa sheria na msuluhishi wa migogoro inayopaswa kumalizwa mahakaani.

Hivyo akabatizwa jina IMPERIAL PRESIDENT, yaani Rais aliyevaa kofia ya kifalme.

Wananchi wakasema hapana, "urais sio ufalme", wakaandamana na hatimaye kumwondoa ofisini.

SABABU KUU ZA KUMWINDOA NIXON:

- Ongezeko kubwa la watumishi katika ofisi ya rais, wakati hawana sifa na hawawajibiki kwa mamlaka zilizopo kikatiba.

- Baraza la mawaziri kupoteza nguvu ya ushauri kwa rais baada ya Rais kupenda ushauri usio rasmi kutooa kwa mawakala wake maalum wanaotenda kazi sambamba na baraza la mawaziri.

- Wateule wengi kuanza kazi bila kuthibitishwa na Bunge na hivyo kuwa na serikali isiyowajibika kwa Bunge.

- Rais mwenye mamlaka ya ziada ya kufanya maamuzi ya kuanzisha, kuendesha na kusitisha vita dhidi ya maadui wa nje ya nchi bila kutafuta ushauri wa Bunge, kinyume cha matakwa ya kanuni ya utenganisho wa madaraka ya minimili ya mamlaka ya nchi.

- Rais asiyelazimika kutoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za serikali kwa umma, isipokuwa kupitia kampeni za uchaguzi au wakati wa kujitetea bungeni dhidi ya mashtaka ya kutokuwa na imani naye.

- Serikali inayoficha taarifa nyeti dhidi ya Bunge na Mahakama na hivyo kuifanya mihimili hii baki kushindwa kutekeleza majukumu yake sawasawa.

- Rais kutumia mamlaka ya dharula yaliyotolewa kwake ili ayatumie wakati wa vita dhidi ya maadui wa nje, lakini yeye akaamua kuyatumia madaraka hayo dhidi ya wakosoaji wake wa ndani ya nchi ambao ni wapiga kura wake.

- Kutengeneza orodha ya maadui wa ndani wanaopaswa kuuwawa na kutumia vikosi vinavyotekeleza majukumu yake nje ya utaratibu wa kisheria kuwaua, wakati vikosi vya aina hiyo huweza kuundwa na kutumiwa na rais pale kunapokuwa na vita dhidi ya maadui wa nje.

- Kuchukua hatua kalinza za kionevu kwa njia ya ukaguzi wa kimahesabu dhidi ya wafanyabiashara wasiokubaliana na serikali.

- Kufanya udukuzi wa mawasiliano ya simu, barua pepe na njia nyingine za mawasiliano ya wapinzani wake wa kisiasa, huku akitumia madaraka ambayo kwa kawaida hutumiwa wakati wa vita na kwa idhini rasmi.

- Na kuwashambulia waandishi, watafiti, na wakksoaji wake baki kwa kuwaundiankesi za kubumba kupitia sheria ya usalama wa nchi, sheria ya makosa ya jinai, sheria ya utakatishaji fedha, sheria ya kudhibiti rushwa, na sheria kama hizo.

Huyo ndiye Rais Richard Nixon, Rais mwenye kofia ya kifalme. Umma wa Wamarekani ulimkataa kwa sababu hizo hapo juu.

Hata leo Wamarekani wanawakalia kooni marais wanaojaribu kunwigiza Nixon, wakiwemo Bush, Obama na Trump (tazama picha ya kejeli hapo juu).

SOMO: URAIS SIO UFALME, NA UFALME SIO URAIS.

Nakaribisha mjadal.
 
View attachment 1405576

Acha uongo
 
Kuishi nchi wanayoishi watu walio hai raha sana,inaonekana Kama raia wa marekani ndo wangekuwa watanzania Kuna mtu angekuwa amesharudi Burigi
 
Rais Richard Nixon, wa Marekani, alikuwa rais wa 37 wa nchi hiyo tangu 1969 hadi 1974 alipojiuzulu.

Alikuwa rais kwa tiketi ya chama cha Republic lakini akaongoza nchi kama rais mfalme.

Alipindua kanuni za somo la uraia zinazowambia watoto wetu shuleni kuwa dola inayo mihimili mitatu yenye nguvu sawa.

Mada nzuri. Juzi juzi nilileta mada inayofanana na hii nikikumbushia kuwa Tanzania haina dini. Kuna watu wanadhani haya mafundisho hayawahusu au ni mambo tu ya wasomi huko vyuoni, kumbe yanahusu masuala mazima ya utawala wa sheria na kanuni zinazowaathiri maisha yao ya kila siku.

Kwa nini Wahenga walituhusia kuwa Serikali haina dini?
 
Wanaccm haoni umuhimu wa katiba Bora,eti wao wanasema watanzania wanahitaji maji Safi,reli,barabara na madaraja,can you imagine msomi wa phD like Mwakembe haoni connection Kati ya katiba Bora ya nchi,viongozi bora ,taasisi imara na maisha bora ya mtanzania?Mungu amusaidie mwafrica maana hata akisoma ni bure
 
Inasikitisha na kukatisha tamaa sana.
 
Back
Top Bottom