G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,880
Leo asubuhi nimebahatika kupitia baadhi ya viwanda ikiwemo TBL aisee hali ni mbaya. Wafanyakazi wamepunguzwa kwa kiasi kikubwa. Pia sijui ni hisia tu za watu au vipi ila baadhi wanakiri waziwazi kuwa na dalili za ugonjwa wa COVID-19 na wengi wameanza kuingiwa na hofu.
Mamlaka zinazohusika na maeneo ya Dar es Salaam ni budi wachukue hatua za haraka maana hali si ya kawaida.
Ninatoa taarifa ambazo mimi binafsi nimeshuhudia, kama mnahisi natoa au kutisha watu basi potezeeni!