rais

  1. JamiiForums Tanzania Tuna imani na rais wetu Magufuli

    Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa siri nyingi zimefichwa kwenye maandishi ndio maana tunavitu vingi tunavyo lakini tunashindwa kuvitumia na waliotangulia kuyafunua hayo maandishi ndio silaha yao wanayoitumia kututumia. Tukiwa kwenye group moja la mitandao ya kijamii, Mchangiaji...
  2. JamiiForums Tanzania Hatimaye Burundi kuchagua Rais mpya leo, Mei 20 baada ya Nkurunziza kuongoza kwa miaka 15

    HATIMAYE Uchaguzi Mkuu wa Burundi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na jumuiya ya kimataifa, utafanyika kesho, huku ukielezwa kuwa ni mwanzo mpya wa demokrasia katika nchi hiyo iliyokubwa na changamoto mbalimbali za kukosekana utulivu wa kisiasa na kijamii. Wakati uchaguzi huo ukifanyika...
  3. JamiiForums Tanzania CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru, Je huyaoni haya

    Wafikirie wananchi wako ndugu, hali ni mbaya sana.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anapenda kuona watanzania wakiumia?

    Wakulima wa nchi hii wanauza Mahindi, Mchele, Karanga, Machungwa kwa wingi katika miji ya Mombasa na Nairobi yaani wanategemea soko kwa 60%. Wafanyabiashara wa ng'ombe wa Tanzania ndi wanalisha nairobi na kenya nyama na wanategemea kipato kutoka Kenya. Tunauza mbao kwa wingi nchini Kenya...
  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

    Up dates; Spika Ndugai amesema Mbowe kama KUB ni mtu muhimu sana pale bungeni na ni mjumbe wa kamati zote muhimu ikiwemo ya Uongozi, kamati ya haki, kamati ya kanuni na kamati ya bajeti. Pia kama KUB Mbowe anaruhusiwa kusimama bungeni wakati wowote na kuuliza au kushauri chochote tofauti na...
  8. JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz, Haji Manara waguswa na juhudi za Rais Magufuli katika mapambano na Corona, Haji ataka Rais apewe kombe la ligi kuu ikiwezekana

    Msemaji wa Simba ndugu Haji Manara amesema hayo kufuatia hotuba ya Rais Magufuli jana, Jumapili kwamba ataangalia mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini katika wiki hii ili kuona kama anaweza kuruhusu vyuo kufunguliwa na shughuli za michezo kuendelea. Manara amesema kuwa Simba imebakiza muda...
  9. JamiiForums Tanzania Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

    Habari ya mda huu wanajanvi! Bila kupoteza mda, kutokana na kauli iliyo tolewa na muheshimiwa Rais juu ya maendeleo ya ugonjwa wa Corona hapa nchini. Kwa mtu mwenye mtazamo mpana kimsingi ni kauli inayo pelekea mtu ajiulize maswali mengi na pengine yasiwe na majibu:- Ikiwa Rais yeye mwenyewe...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kwa hili la COVID-19 hujengi Taifa bali unajenga chuki na hasira kwa wananchi

    Mh Rais samani I know una nguvu zote na Mamlaka ila hiki unakifanya kubeza njia za kisayansi na kupingana na watu wa afya wazi kweli unalitesa Taifa na kamwe hulijengi. Hivi kweli una apa nakujivuna as if huwoni nini kimeikumba dunia kweli basi hata kama niukweli basi kuna mambo bora usiseme...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

    Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe. Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya. Naye...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu akanusha taarifa za Tanzania kufunga mpaka na Kenya

    Waziri amekanusha kwenye page yake na kusema habari hizo ni uzushi . BBC mnakwama wapi mbona mmekuwa wazushi hivi.
  13. JamiiForums Tanzania Kuendelea na shughuli zao za kawaida je Watanzania wamekubaliana na Rais wao!?

    Pamoja na janga la Covid 19 kuendelea kuukumba Ulimwengu na karibu Nchi nyingi kuwafungia wananchi wao lakini hali ni tofauti kwa upande wa baadhi ya mataifa ikiwa pamoja na Tanzania. Watanzania wengi wameendelea na shughuli zao za kawaida kama wanavyoaswa na Rais wao na inaonyesha hawana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Rais Magufuli amepatia hasa jinsi anavyopambana na Corona

    Binafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi. Kipindi cha akina Mrema, Mabere Marando, Prince Bagenda, Masumbuko Lamwai n.k. Baada ya NCCR...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao. Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara. ======...
  16. JamiiForums Tanzania Raila Odinga, aliyekataa kupokea simu si rafiki yako Magufuli bali ni Rais Magufuli

    RAILA KAMSHAURI MAGUFULI YUPI? Raila Odinga anadai amempigia Rais wetu Simu kumshauri kuhusu Corona. Anavyodai sijui hajampata kwenye Simu..... Kitu ambacho Raila anatakiwa kukifahamu ni kwamba Kuna Magufuli wawili, Mmoja ni Rafiki yake ambaye wanaweza kujadiliana naye chochote kwa wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame awakemea vikali Marais wa Afrika wasiowajibika kuzuia janga hatari la ugonjwa wa Corona

    Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari, hawajulikani walipo, wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani, maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu. Wanasali kila jumapili...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

    Huu ndio muendelezo wa mapigo ya kuipuuza kuibeza na kuiita Corona kaugonjwa kadogo. Sasa hasara itatuandama sisi sote, wakenya kwa watanzania, baada ya rais Kenyatta kufunga boda kati ya Kenya na Tanzania na pia Kenya-Somalia. Amri ambayo itadumu kwa siku thelathini zijazo. Sio jambo njema...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

    Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote. Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona. Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuaje leo kama Oscar S. Kambona angewahi kuwa Rais wa Jamhuri? Tutafakari kwa Jicho Pevu

    Ndugu zangu, Ni kweli historia ndio mhimili wa usuli wa taifa lolote. Tumesoma na kufunzwa mengi kuhusu, Nyerere, lakini pia tumechokonoa mengi kuhusu Kambona. Je, hivi leo, najiuliza, kama Kambona angelipewa nafasi ya juu. Nchi yetu ingekuwa na picha gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…