johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,832
- 141,749
Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Dkt. Tulia yuko jijini Mbeya akijaribu kumtunishia misuli mbunge aliyemaliza muda wake Joseph Mbilinyi aka Sugu.
Prof. Kabudi ametia nia kwa kishindo pale Kilosa mbele ya mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli.
Prof. Ndalichako na Dr Mpango wako Kigoma wakihimiza shughuli za maendeleo na wote kwa nyakati tofauti walishatia nia kugombea ubunge huko waliko sasa.
Alhaj Bulembo aliyebahatika kuwemo bungeni yeye na binti yake Halima wote wakiwa wabunge wa viti maalumu ametangaza kustaafu ubunge.
Bulembo kwa sasa amejipa jukumu moja tu la kuhakikisha " Mkaza mwana" wake Zitto Kabwe harudi bungeni.
Maendeleo hayana vyama!