Waziri Jaffo: Rais Magufuli mimi si lolote si chochote nitaendelea kukutii na kutangaza kazi zako!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,748
141,613
Kumekucha uchaguzi mkuu 2020

Waziri wa Tamisemi Jaffo amesema Rais Magufuli hana sababu ya kwenda Kisarawe kufanya kampeni kwa sababu kazi zake ni kampeni tosha.

Jaffo amesema yeye si lolote si chochote lakini Rais Magufuli alimteua na kumkabidhi kwa maaskofu na viongozi wa dini wamuombee na kumlinda.

Maendeleo hayana vyama!
 
tapatalk_1592044691926.jpg
 
Huo ndio Unyenyekevu unaostahili kwa Kiongozi, napenda Sana Raisi wangu Magufuli anapowafundisha viongozi kunyenyekea, Watanzania Tumuombee Raisi wetu
 
Jafo tafadhali Fanya yote Ila usiguse usingizi wa mshua(jokate) utaumia mwenzio Leo hii amefungasha virago kurudi kwao mbeya.....huyu mrembo atafukuzisha watu wengi Sana hapo kisarawe ndiyo maana Kwa kuona mshua amemteua mwanamke badala ya mwanaume kama mwanzo hiyo yote ni uoga tu
 
Huo ndio Unyenyekevu unaostahili kwa Kiongozi, napenda Sana Raisi wangu Magufuli anapowafundisha viongozi kunyenyekea, Watanzania Tumuombee Raisi wetu

Kwani wewe na wenzako mkimuombea haitoshi mpaka utushirikishe Watanzania wote? Sisi tunajinyenyekeza kwa Mungu Mwenyezi Muumba wa Mbingu na Dunia! na siyo kwa mwanadamu ambaye ni mavumbi tu.
 
Back
Top Bottom