rais

  1. JamiiForums Tanzania Alikosea kwa kuamini kuwa angeweza kuumaliza upinzani kwa kutumia Vyombo vya Dola badala ya kutumia nguvu ya hoja

    Rais Magufuli alianza kutekeleza azma yake hiyo kwa kutangaza hadharani kule Singida, katika sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa chama chake cha CCM, hapo Februari 5, mwaka 2016, kuwa ndani ya utawala wake, atahakikisha vyama vya upinzani vinakufa ifikapo mwaka huu wa 2020! Utekelezaji wa azma...
  2. JamiiForums Tanzania Kabila Joseph ulingoni tena kwenye siasa za uwazi za Congo DR.Hii imekaaje kwa mustakabali wa taifa hili chini ya utawala mpya wa Rais Tshekedi?

    Wakuu salaam. Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu mtu chake zitto junior mng'ato Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo hasa ukizangia tetesi kwamba na uhusiano wake na rais Tshekesi kwa sasa hauko imara sanA. Na kama...
  3. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wananchi wachague Wabunge, Madiwani ila Rais achaguliwe na Bunge

    Nimewaza na kuona bora Rais awe anachaguliwa na bunge kwa sababu wabunge wanajuana zaidi na hakutakuwa na malalamiko wala hofu ya amani kuvunjika. Hapo ndio majimboni kutakuwa na siasa ya kukata na shoka,hii ni kwa sababu nawaonea huruma wagombea urais wanafanya kazi kubwa kuzunguka nchi nzima...
  4. JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika uhusiano wa Mataifa

    Na Debora C. Kiyuga ✍🏽 Miaka Mitano ya Magufuli Serikali imeimarisha uhusiano na ushirikiano na Mataifa ya nje pamoja na taasisi za kimataifa. Hii ndiyo sababu Serikali iliweza kupokea viongozi wa Nchi na Taasisi mbalimbali za kimataifa, ikiwemo Vietnam, India, Uturuki, Afrika Kusini, DRC...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Tusipotoshe Umma Rais Magufuli yupo tayari kwa mdahalo, si vinginevyo

    TUSIPOTOSHE UMMA RAIS MAGUFULI YUPO TAYARI KWA MDAHALO, SI VINGINEVYO. Wasalaam wana JF. Natumia fursa hii kutoa ufafanuzi na maelezo yanayojitosheleza dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mgombea wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Heko nyingine ya Rais Magufuli kwenye kupigania maslahi ya Tanzania: Kisa cha bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanzania

    HEKO NYINGINE YA RAIS MAGUFULI KWENYE KUPIGANIA MASLAHI YA TANZANIA: KISA CHA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA, UGANDA HADI TANZANIA Na Bwanku M Bwanku Jumapili Septemba 13 mwaka huu tulishuhudia tukio kubwa la kihistoria la kiuchumi, ustawi wa watu, undugu na maendeleo ya nchi yetu kwa kushuhudia...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo azuiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu ujao

    Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa tume ya uchaguzi. Wakili wake Claude Mentenon amelimbia shirika la habari la AFP amesema kuwa kuna matatizo menginezaidi ya kisheria ndani ya Ivory coast dhidi yake...
  8. JamiiForums Tanzania Agenda ya kubadili Katiba si ya Rais Magufuli, ni agenda ya wapambe

    AGENDA YA KUBADILI KATIBA SI YA RAIS MAGUFULI, NI AGENDA YA WAPAMBE. Nawasalim wana JF Nimeamua kuandika andiko hili ili kutoa ufafanuzi wa maneno na taarifa zinazosambaa mitaani, mitandaoni na viunga mbalimbali vya taifa letu kuwa Rais Magufuli ana mpango wa kubadilisha “ Katiba ili aweze...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Rais ndiyo Nembo

    "Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe" "Ningekuwa sina mahusiano mazuri je...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba akiwa Dodoma Mjini: Mkinichagua kuwa Rais wa nchi hii nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito na watoto

    MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais unayeutaka Urais tueleze kwanini tukuamini tena baada ya mgawanyo na mpangaranyiko wa umoja wa Kitaifa

    Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani nchini Tanzania kwa mwaka 2020,huenda ukawa uchaguzi bora kuliko yote au uchafuzi kuliko yote toka tuingie chaguzi chini ya mfumo wa vyama vingi 1995. Ubora au udhaifu wa uchaguzi huu unajengwa na kauli za mtukufu rais ambaye ndiye mwenye mamlaka ya...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Rais Magufuli hataongeza hata sekunde moja baada ya Awamu yake kuisha

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda. Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Bodaboda, Machinga na Mama N'tilie, Mungu awape nini tena juu ya Rais Magufuli?

    Turudi nyuma kidogo. Wafanyabiashara wadogowadogo mnakumbuka mateso mliyoyapata tena kwenye ardhi yenu ya nyumbani Tanzania? Bodaboda, machinga na mama n'tilie. Mkabughudhiwa kufanya shughuli zenu kwenye maeneo flanflan ya nchi kama vile nyie sio binadamu na kwamba hamtakiwi. Yani kwenye ardhi...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera ZEC kwa maamuzi ya akili. NEC ni tatizo katika Uchaguzi wa Bara

    Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Sauti ya Umma (SAU): Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    YALIYOMO; 1. UTANGULIZI 2. VIPAUMBELE VYA SERIKALI YA SAUTI YA UMMA(SAU) 3. AFYA 4. ELIMU 5. MAJI 6. KILIMO MIFUGO NA UVUVI 7. MALI ASILI 8. MIUNDO MBINU 9. VIWANDA NA BIASHARA 10. SANAA UTAMADUNI NA MICHEZO Kwanza Kabisa Nimshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kutuongoza Na Kutusimamia Katika Safari Na...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli mbele ya Mgeni wake Rais Museveni imejaa Hofu ya Kampeni

    Hapa niandikapo, Rais Magufuli amehitimisha hotuba yake. Sasa hivi anaongea Rais Museveni. Hotuba ya Rais Magufuli imejikita katika kuchambua faida ya bomba la mafuta toka Uganda. Lakini kilichojitokeza hasa ni ile "tone" ya Magufuli. Alikuwa anarudiarudia maneno, hana amani, tofauti na...
  18. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

    Rais Museveni ametembelea tanzania Kikazi === Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wamesaini makubaliano ya kuanza ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga, Tanzania Rais Magufuli: Tumeshuhudia uwekaji wa saini wa ujenzi...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alishasema hatabadili Katiba ili kusalia madarakani. Kwanini Kabwe, Membe, Tundu Lissu mnamenea mnamnenea uongo ?

    Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi. Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…