rais

  1. Maelezo haya ya leo yanaendana na maelezo ya Rais mstaafu Kikwete

    Haya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo. Licha ya hivyo, hicho sicho kilichompeleka hospitali. Kilichompeleka hospitali ilikuwa ni kutojisikia kwake vizuri, ambapo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ni malaria, kwa mujibu wa taarifa...
  2. Simulizi Binafsi: Ninavyomkumbuka Rais wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa

    UTANGULIZI: Kwa neema ya Mungu nimefanikiwa kuishi kwenye uongozi wa marais wote 5 wa nchi yetu hadi sasa nikiwa tayari na uwezo wa kuelewa kinachoendelea duniani (kwa sehemu). Kwa kuwa nina shahuku (enthusiasm) kubwa na uongozi na dhana nzima ya kutumikia watu (ambayo siasa ni sehemu yake)...
  3. J

    Nyalandu: Nilikuwa msaidizi wa mama Mkapa kwahiyo nilisafiri sana huko duniani na Rais Mkapa!

    Mtia nia ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA mh Lazaro Nyalandu amesema wakati wa utawala wa Rais Mkapa yeye alikuwa msaidizi wa Mama Anna Mkapa hivyo amesafiri sana huko Duniani na mzee Mkapa. Nyalandu amesema hayo wakati akiweka saini kitabu cha maombolezo msiba wa mzee Mkapa. Chanzo: ITV habari...
  4. M

    Benjamin William Mkapa Rais aliyeamini katika Ujenzi wa mifumo

    Ndugu Watanzania wenzangu Kwa hakika Taifa letu limepoteza kichwa, kichwa makini sana kilichoacha alama katika nyumba hii ya maendeleo tunayoendelea kuijenga. Rais Benjamin William Mkapa amefanya mambo mazito sana kwa nchi hii. Kwa kweli nchi hii ina afadhali leo hii kwa sababu alikuwepo mtu...
  5. Mama Samia: Hakuna aliyetarajia msiba wa Rais Mkapa kwa sababu hatukusikia kuumwa kwake, tumesikia msiba wake. Ni msiba mzito na umekuja kwa mshtuko

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa ni msiba mzito kwa Taifa na umekuja kwa mshtuko mkubwa kwasababu umetokea hakuna aliyetarajia au kutegemea Amesema, "Hakuna aliyetarajia kwasababu kama tungesikia Mzee amelazwa anaumwa kwa wiki na tumekwenda...
  6. Balozi Gastorn: Kifo cha Rais mstaafu Mkapa si pigo tu kwa Tanzania, bali pia kwa Jumuiya ya Kimataifa

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Kennedy Gastorn amesema kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam sio pigo kwa Tanzania tu bali kwa jumuiya nzima ya kimataifa. Balozi Gastorn amesema kuwa...
  7. Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

    Habari wakuu! Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia. Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia...
  8. Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Wanabodi, Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa. Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya...
  9. Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini

    Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratias Nsokolo ni kirusi kinachowauwa waandishi wa habari katika mapambano ya kudai haki na ukuaji wa tasnia hiyo kwa ujumla. Rais wa UTPC...
  10. Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

    Duh! Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!
  11. Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  12. Baadhi ya Mambo yaliyoanzishwa na Rais Benjamini Mkapa

    Benjamin William Mkapa alichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1995 na alikuwa madarakani kuanzia mwaka 1995 hadi 2005. Katika utawala wake alifanya mengi haya ni machache kati ya hayo. TAKUKURU. Kabla ya kuwa TAKUKURU kwa sheria ya TAKUKURU ya 11 ya mwaka 2007, ilikuwa...
  13. Kifo cha Mkapa: Rais Kenyatta aotoa salamu za pole. Raila Odinga amlilia, asema Kenya itamkumbuka kwa juhudi zake za kuiletea nchi hiyo amani

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametuma ujumbe wa salamu za pole kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli; Watanzania wote pamoja na familia kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Katika ujumbe wake, Rais Kenyatta amemuomboleza kiongozi huyo kama mtu bora wa Afrika Mashariki aliyefanya kazi kwa...
  14. GE2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

    Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5! Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu...
  15. K

    Hayo malalamiko ya Rushwa kila kona kwenye uchaguzi ndio uhalisia wa CCM

    Mada inahusika sambamba na kinachoendelea kwenye kura ya maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Ndugu Mwenyekiti nadhani umepata picha halisi. Hayo malalamiko ya RUSHWA kila kona kwenye uchaguzi ndio uhalisia. Zile jitihada zako bado hazijafua dafu. Nadhani unazo taarifa za wateule hatua hii ya...
  16. M

    Kwa utaalamu wa Diplomasia Rais Mtarajiwa Bernard Membe yuko vizuri sana

    Kwa Nyie Diaspora Mgombea mwenye kutetea maslahi yenu kwenye suala la Uraia pacha ni Bernard Membe Katika hii clip Rais Mtarajiwa Bernard Membe anazungumzia Umuhimu wa uraia pacha, anatambua magumu mnayopitia huko katika nchi mnazoishi Kwa mfano katika nchi ambazo Healthcare costs ni ndogo sana...
  17. T

    Rais Magufuli jifunze kuwa vetting ni muhimu sana kabla ya kugawa cheo

    Leo nakuomba sana sana ukumbuke kuwa wale wapinzani wote mliowanunua na kuwapa mavyeo au kuwashindisha kwenye uchaguzi wa marudio hawakuwa wamefanyiwa vetting ama ya kiserikali ama ya kichama. Mngekuwa mmewafanyia vetting watu kama akina Protabas Katambi, Kafulila, Cecil Mwambe, Karanga, Mollel...
  18. Uganda: Rais Museveni ajipanga kugombea tena

    Rais wa Ugnda Yower Museveni amethibitisha kugomea tena kwa muhongo wa nne tangu aanze kuwa Rais wa Uganda. Kiongozi huyo aliyeanza kuwa Rais wa Uganda mwaka 1986 na kuwa Rais wa Nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 30, anatarajiwa kugombea katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika 2021 nchini humo. Museveni...
  19. Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu. Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi...
  20. Rais Magufuli, awashushua TAKUKURU na Watendaji wote wanajipendekeza kwake na kupeleka miradi ya Maendeleo Chato

    “Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…