Rais Lazarus Chakwera Alhamisi alirudi nchini kwakwe baada ya kukatisha ziara yake nchini Tanzania kutokana na kupata dharura. Muda mfupi baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa (KIA) Rais huyo alitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kutokana na madai ya Wananchi wa Malawi kwamba alikuwa...
Dr. Tulia Ackson Ni vyema ukajifunza unapozungumza na Wananchi na ukatambua nafasi ya kazi unayotuomba tukupatie Wana Mbeya.
Kazi ya Mbunge siyo kwenda kuomba fedha kwa Rais, fedha za nchi ni zetu. Kazi ya Mbunge Ni kwenda kusimamia utungwaji wa sheria, usimamizi wa rasilimali zetu zikiwemo...
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.
Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.
28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.
HabariLeo
Haya sasa wale 'Visokolokwinyo'...
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE MJINI
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
Kama kawaida yake Rais Magufuli huwa hafichi hisia zake hasa mambo yanapokwenda ndivyo sivyo katika utendaji kazi, na hii ndio hulka yake.
Maneno haya kayasema leo alipokuwa akiweka jiwe la msingi stand ya mabasi Mbezi.
Hii ni baada ya ujenzi kusuasua kwa visingizio hafifu.
Nahisi anaweza...
Tunamwomba Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Aangalie diploma maalum ya sekondari iliyodahiliwa mwaka 2018 kwa vyuo kama Songea, Tukuyu,kleru,mpwapwa na korogwe.maana wanapata wakati mgumu kweli wengi wanaacha vyuo kutokana na matamko ya wizara na mifumo walioiweka mgumu kwa wanachuo.
Habari zinasema rais wa Malawi amekatiza ziara yake hapa nchini baada ya mazungumzo na Rais Magufuli na wafanya biashara wa Malawi.
Rais Chakwera alifika Tanzania Jumatano kwa ziara ya siku tatu ya kikazi, alitarajiwa kuondoka Ijumaa ila ameondoka alhamisi kutokana na dharura ya mambo ambayo...
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka...
Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa.
Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya mradi ni sh 51 bilioni na kwamba hadi yeye anaondolewa ofisini kulikuwa hakuna ongezeko lolote...
Na Bwanku M Bwanku
Wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli anaingia madarakani Novemba, 2015 na toka nchi yetu ipate uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na jumla ya vijiji 2018 tu vyenye umeme kati ya vijiji 12,268 vya nchi nzima ya Tanzania. Kuingia madarakani...
Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish.
Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu...
CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea baadaye. Lakini leo hii na muda huu anatumia nafasi yake Kama rais kufungua miradi na hapo hapo kuomba...
Rais Donald Trump wa Marekani amesimamisha ghafla majadiliano na chama cha Demokratic juu ya mpango wa kusaidia kupunguza athari za kiuchumi zinazotokana na ugonjwa wa COVID-19, na kuhamishia maamuzi yoyote kuhusu mpango huo baada ya uchaguzi wa Novemba 3.
Trump ameichukuwa hatua hiyo licha ya...
Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam.
===
MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Tumekuwa tulimsikia mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, Mara kwa mara katika kampeni zake...
SISI WETU NI MAGUFULI, WENGINE MSITUTISHE!
Tanzania yapendeza
Amani yetu yaangaza
Uhuru wetu twajivunia
Na tisa hamsini metimia
Beberu we situtishe
Utaipata kasheshe.
Wapo wenye inda
Nia yao kulivurunda
Taifa letu imara
Watuletee madhara
Tunasema hatukubali
Tutawafyekelea mbali.
Twatimiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.