rais

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii 'Turufu' ya uhakika ya CCM imethibitisha kuwa 'Chama' kina Watu 'Makini' wa Kuusoma Mchezo na Kuwashinda vizuri Wapinzani

    Na hapa ndipo sehemu pekee ambayo CCM yangu inanifanya niipende kwani inajua mno kufanya 'Utafiti' hasa ule wa 'Kujitathmini' yenyewe ili baadae ijue jinsi ya 'Kumkabili' na 'Kumshinda' Mpinzani wake mapema tu. Na sasa nimeamini kuwa Siasa ni 'Sayansi' na kujua 'Mvumo' wa Kipindi husika ilimradi...
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli: Nitapata tabu ya kumpata Waziri wa Ulinzi nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake Aidha amemsifu Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye ni mgombea urais Zanzibar kuwa alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka 11 na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Ali Hassan Mwinyi huwa hatumbulishwi kama raisi wa tatu wa Zanzibar badala yake hutambulishwa tu kama Rais mstaafu wa Tanzania .?

    Wapwa Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 -...
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Nitakuwa rais Msikivu, nitaunda Serikali ya Ummoja wa Kitaifa

    NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" MAGU , MWANZA Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Lissu imekaa kiutawala zaidi 'tuseme RAIS'

    Hii picha inanifikirisha kiutawala zaidi kutokana na appearance ya mh president tobe. Iangalie na utafakari kwa mbali, 'zoom'
  7. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa bariadi mmekopwa pamba na hamjalipwa pesa zenu hadi leo hii sio haki. Nipeni kura Oktoba 28, niwe Rais nitatue tatizo hili "Pro. Lipumba"

    WANANCHI WA BARIADI MMEKOPWA PAMBA NA HAMJALIPWA PESA ZENU HADI LEO HII SIO HAKI.NIPENI KURA OKTOBA 28, NIWE RAIS NITATUE TATIZO HILI "PRO.LIPUMBA" BARIADI- SIMIYU Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha wakulima...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpaka sasa Rais Magufuli ameshakiuka kwa kiwango kikubwa sana ahadi yake ya kuwepo uchaguzi wa huru na haki. Najua alichowaza mpaka akaahidi hivyo

    Zipo ishara za wazi sana kuwa Rais Magufuli anaenda kushughulikiwa vilivyo na jumuiya za kimataifa na litakalotokea mpaka watanzania wenyewe watashangaa. Nimemsoma Dr. Christopher pahala (Huyu ni mbobezi wa mambo ya uchaguzi Afrika) anasema wazi kuwa ipo hofu Tanzania kuwa kama Zimbabwe baada...
  9. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hasemi ukweli kuhusu wazee Tanzania

    Jana tarehe 01 Oktoba ilikuwa ni Siku ya Wazee duniani. Tumemsikia Magufuli kwenye Kampeni akiwalaghai Wazee na watanzania kwa ujumla wao ati Serikali yake ya CCM inawajali Wazee na inawalinda kwa nguvu zote! Huo ni urongo na Unafiki mkubwa na pengine ni lugha tu ya kuombea kura! Kuna matatizo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Trump tested positive for Coronavirus

    Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona. Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
  11. Superleta

    JamiiForums Tanzania Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

    Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu. Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao. Naogopa...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa ubabe na mfumo mbaya ndani ya CCM Mkapa alikuwa ni Rais mzuri after Nyerere

    Kama binadamu Mkapa alikuwa na udhaifu wa kuwa mbabe au ujivuni kiasi flani. Lakini kama kuna kiongozi ambaye ingekuwa mfumo wetu upo vizuri aliyekuwa na akili alikuwa Mkapa. Alijiamini kupita kiasi.angekuwa amejishusha kiasi flani alikuwa ana uwezo wa kuifikisha nchi mbali sana. Alikuwa na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwa watumishi wa umma zama hizi za Rais Magufuli

    Habari Wana wa JF. Niende madani. Tangu Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kumekuwa na mabadiliko katika utumishi wa umma. Kuna mengi ila nizungumzie haya machache. 1. Mosi, Watumishi wa umma wengi wamefungua maduka madogo ya rejareja ili kujikimu kimaisha. 2. Pili, Watumishi wengi...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma. MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo. Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
  15. Securelens

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Juliana Shonza: Kwetu sisi wewe ni Rais, Oktoba 28 tuepuke matapeli wa kisiasa

    Leo Rais Magufuli amefika Vwawa mkoani Songwe katika mkutano wa kampeni, pamoja na mambo mengine Rais Magufuli aliongelea Songwe kama sehemu ya mwisho kupewa hadhi ya mkoa hivyo ataujali kama mtoto wa Mwisho kwenye familia. Pia alimkaribisha Juliana Shonza kuongea na wananchi ambae anamaliza...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Lissu aisimamisha Kilimanjaro, Moshi mjini wamsubiri hadi usiku, waimba rais, rais, rais hawataki Lissu awanyamazishe

    Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto. https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Luhanga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe kwa kipindi cha pili

  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Rais Magufuli ni mgombea Urais kama mimi na anasimama sehemu yoyote anasalimia na hazuiwi lakini mimi mnataka kunizuia

    RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA" KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

    Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waleo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa. Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati...
Back
Top Bottom