rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na WhatsApp...

    Siku ya leo katika Hotuba ya Mhe. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya WhatsApp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana Siri za Serikali. Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!

    Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Maya Harris, Dadake Makamo wa Rais mteule wa Marekani ashinikiza ili mumewe Tony West ateuliwe nafasi ya Mwanasheria Mkuu

    VP-elect Kamala Harris' sister pushing for husband to be named attorney general: report Maya Harris has allegedly worked behind the scenes to lobby for her husband, Tony West Vice President-elect Harris’ sister participated in discussions with Democratic allies about getting her husband...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania UAPISHO: Wabunge wawili waliteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 kuapishwa leo Bungeni

    Spika wa Bunge Mhesh Job Ndugai ataendesha shughuli hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watakaoapishwa ni Dkt Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho.
  7. JamiiForums Tanzania DRC: Rais avunja muunganiko kati ya wafuasi wake na wale wa Rais Kabila

    Rais Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema anavunja ushirikiano wa kisiasa baina ya muungano wa vyama vinavyomuunga mkono-CACH, na vile vilivyo upande wa mtangulizi wake, rais mstaafu Joseph Kabila-FCC. Ushirikiano huo umekuwa ukiongoza serikali ya Kongo kwa miaka miwili...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. ===== Taarifa kwa vyombo vya Habari Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Rais wangu mpendwa nisaidie nataabika

    Mheshimiwa rais kwanza nikupongeze kwa kuchaguliwa kuongoza kwa muhula mwingine. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akulinde, akupe hekima kama jinsi mfalme Selemani alivyoomba hekima, ili taifa hili liweze kusonga mbele. Miaka 5 umeiongoza kwa mafanikio makubwa hivyo ni matumaini yangu hii miaka 5...
  10. JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Geofrey Mwambe na Dkt. Philip Mpango turufu mpya za ukuaji wa uchumi katika awamu hii ya mwisho ya Rais John Magufuli

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI. Leo 13:25hrs 06/12/2020 TIC ndio mzizi uliosimikwa chini kwa Maendeleo ya Taifa la Tanzania,TIC ina wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa sehemu bora kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa wameondolewa, wapya wameingizwa na wengine kuhamishwa wizara huku kadhaa wakiendelea kushika nafasi zao. Rais amemteua mbunge mwingine mpya - Bi. Saada Mkuya Salum Imeelezwa kuwa tukio hili...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

    Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tunusuru vijana wako tunapitia kipindi kigumu

    Just imagine upo katika kipindi cha majonzi una tafakari hili na lile baada ya kukosekana kwenye ajira! unaulizwa maswali kama haya na wazazi, ndugu na majirani; Nasikia ajira zenu zimetoka. Vipi sasa umefanikisha? Unajibu sijafanikisha. Anaendelea kuuliza, kwanini sasa au hukutuma maombi...
  14. JamiiForums Tanzania Tutakumbushana tena 2025 Magufuli kama atakubali kuachia madaraka basi atalazimisha kutuachia Rais anayependa yeye

    Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo 1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

    Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
  16. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais usikubali eneo la Jangwani kutumika kama uchochoro wa kula pesa, limegeuka mradi wa kifisadi

    Wasalaam wana jamvi. Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na kuchimba mitaro kwa sababu hivyo vyote havijawahi kuwa suluhu kabisa pale Jangwani kwani kila leo...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing afariki dunia

    Aliyekuwa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94,baada ya kuugua homa inayosababishwa na Virusi vya Corona. Rais huyu aliiongoza nchi ya Ufaransa kutoka mwaka 1974 Hadi mwaka 1981. Valery amefariki nyumbani kwake na taarifa zinasema kuwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania TAZARA - Rais Magufuli tunakuomba utupie jicho uongozi hili shirika

    Mheshimiwa rais na serikali yako tunaomba uitupie macho TAZARA. Kumekua na utendaji mmbovu mnoo na kwa muda mrefu kwenye hii taasisi. Watendaji wakuu wamekua chanzo cha migogoro na mazingira magumu kwa wafanyakazi na wateja. Shirika limejaa urasimu unaoharibu utendaji bora wa watendaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yafafanua kasoro za majina ya walimu walioitwa kwenye ajira 13,000 za Magufuli

    Serikali yaanika sababu kasoro majina kwenye ajira za walimu SERIKALI imeeleza sababu zilizochangia kuwapo kwa kasoro mbalimbali kwenye majina ya ajira za walimu 13,000 zilizowekwa kwenye tovuti hivi karibu. Hali hiyo ilizua mjadala na maswali mengi katika mitandao ya kijamii, huku ikibainisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…