rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru nilikuwa namuona Rais mstaarabu kuliko wote East Afrca kumbe ni hovyo mno

    Siasa za Kenya ni kama unaangalia series ya Game of Thrones in real life, zinasisimua na zipo very unpredictable Huyu jamaa Uhuru Kenyatta nilikuwa naumuona kama yupo civil, level headed, japo sikutegemea atakuwa perfect, kumbe huyu jamaa nae hana tofauti na wnasiasa wanafiki, madikteta na...
  3. JamiiForums Tanzania Wamachinga: Tuko tayari kuandamana 2025 Rais aendelee kubaki madarakani

    Wamachinga wa Dar wamesema wanamshukuru Rais Magufuli kwa kuwajali na kutengeneza mazingira bora ya kufanya kazi. Wamesema hakuna Rais aliyefanyia wema kama Rais Magufuli hivyo wako tayari kuandamana ili Rais Magufuli abaki madarakani. Aidha wamachinga wamesema uongozi waliokuwa nao kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kunusa uvamizi unaofanyika Ndachi Nkuhungu, Dodoma

    Jana Mh Rais akiwa eneo la Kizota ukifungua nyumba za askari wa Magereza ulitamka kuna eneo wananchi wanafukuzwa na mapanga. Ni kweli kabisa. Cha ajabu uongozi umekaa kimya na kuwapa wababe wenye silaha kuzidi kumega ardhi za wamama wajane na wakongwe waliostaafu. Ardhi kwa maelekezo hati zao...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Magufuli kwa sababu enzi za "mitishamba" afya za Watanzania zilikuwa imara!

    Anachokisema Rais Magufuli ni kwamba Watanzania tusipaparikie chanjo bali tuimarishe kinga zetu kwa kutumia tiba na njia za asili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu. Nijuavyo mimi kitengo cha utafiti wa tiba za asili kimekuwepo tangu 1971 kabla hata ya hii NIMR iliyoasisiwa miaka ya 1980s na dawa...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

    Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021. Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC. Bwana ametoa, bwana ametwaa --
  7. JamiiForums Tanzania EAGT[ Walokole walioasi TAG] mwaka 1991 waomba Rais aingilie

    Baada ya Mgogoro kufukut na waEAGT kuomba raisi aingilie kati nao TAG wanataka warudishiwe mali zao ambazo MOSES KULOLA likimbia nazo na kumuacha EMMANUEL LAZARO bila kitu. Makanisa na viwanja hivyo mpaka leo vipo kwa majina ya REGISTERED TRUSTEES OF TAG, hamna namna EAGT wataweza kuendeleza...
  8. JamiiForums Tanzania Nimemdharau Tulia Ackson kwa kusema Msimamo wa Rais juu ya kuongeza muda unajulikana badala ya kusema Katiba hairuhusu kuongeza muda

    Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA. Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema? Pili: Vipi Rais...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanaharakati na mkosoaji mkubwa wa Rais Museveni, Dkt. Stella Nyanzi akimbilia Kenya, aomba hifadhi ya kisiasa

    Nana angedhani kwamba ipo siku nchi ya Kenya ndio itakuwa hifadhi la wakimbizi wa kisiasa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki? Aliyekuwa mgombea ubunge jijini Kampala(Woman Mp Seat) na Research Fellow kwenye Chuo Kikuu cha Makarere, mwanaharakati wa kisiasa nchini Uganda, Dr Stella Nyanzi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukimjulia Rais Magufuli utajua kwanini lazima Upinzani utoweke nchini

    Wadau, wengi wanauliza ni kwa nini Rais Magufuli anachukia Upinzani kiasi cha kufanikisha Bunge kugeuka kuwa Halmashauri Kuu ya CCM, NEC. Ukweli ni kwamba Magufuli si rafiki na watu weupe na product yoyote inayotoka huko. Mengine anakubali tu kwa kuwa hakuna alternative. Lakini angetamani kila...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

    Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho. Kitendo Cha watu huko China kukamatwa wakifyatua chanjo bandia imezidisha hofu duniani kuhusu usalama wa chanjo wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa. Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri. === 10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
  13. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Rais Magufuli kitalitesa taifa na kitamtesa Rais ajaye

    Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hivyo basi nadhani hata atakapostaafu kivuli chake kitakuwa na nguvu sana ndani ya taifa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kitu ambacho Membe hatokaa amsamehe Rais Magufuli maishani!

    Nawasalimu wanabodi. Mwaka 2015 Mwanadiplomasia mahiri na kachero mbobezi Bernard Membe alijaribu kuusaka Urais kupitia CCM lakini akakatwa jina lake hatua za mwisho. Macho na masikio ya wengi yalikuwa ni kwa Edward Lowassa na Membe lakini ngekewa ikamdondokea John Magufuli ambaye sasa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unatawala taifa lisilo na haki, leo ulipaswa kuondoa mfumo kandamizi unaonyima haki wanyonge

    Leo Rais wetu wa JMT amehudhuria sherehe za kuadhimisha miaka 100 ya mahakama kuu hapa nchini. Kauli mbiu ya kudhimisha miaka 100 ni kujenga nchi inayozingatia haki, udugu na amani katika kuleta ustawi wa jamii. Mimi binafsi nilitarajia kama mkuu wa nchi ulienda kwenye haya maadhimisho, je...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

    The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amkumbusha Rais Magufuli kiporo cha Katiba Mpya alipomkaribisha kusalimia. Jaji Mutungi amjibu

    Kwanza sielewi kiitifaki imekaaje pale mteule wa Rais anapoamua kujibu kwa niaba ya Rais pasipo kuagizwa tena Rais mwenyewe akiwepo mahali hapo. Pili, Prof Lipumba alitoa ombi/ kumbusho na siyo swali kwamba ikimpendeza Rais Magufuli atuachie katiba mpya. Tatu, Jaji Mutungi amemtaka Prof...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Rais Magufuli amefurahishwa na kitendo cha Jaji wa mkoa wa Mara mhe. Jaji Galeba kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza kama ilivyozoeleka. Na kwa maana hiyo Rais Magufuli amemteua Jaji Galeba kuwa Jaji wa mahakama ya Rufaa kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama! FUNGUA...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya mahakama kuu

    Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini. Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza. Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia. Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Magufuli, Kwanini ulikimbia Ualimu?

    Ndiyo wakuu, Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi. Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kada tofauti na ualimu. Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo, huku akiwazuia wengine kufanya vitendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…