Matairi meusi ya ndege ya shirika la ndege la kimataifa la Kenya (Kenya airways) yaligusa taratibu katika ardhi ya uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es salaam. Abiria wengi walianza kushuka katika ndege hiyo kwa kutumia ngazi ndefu nyeupe iliyotokea baada ya...
Habari za wakati huu jamiiforums.
Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"
Mnamo mwaka wa 1999, kulikuwa na muungano/umoja wa kisiasa ambao uliwajumuisha Rais wa wakati huo ndugu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
Watanzania, Salaam!
Nianze kwa kuwapa hongera nyingi sana kwa jinsi mnavyopambana kila siku, kila wiki, kila mwezi na kila mwaka kuhakikisha mnayakabili maisha. Kwa wale mliokutana na vikwazo kadhaa niwape pole pia.
Wanasiasa wametuaminisha kwamba kuisha kwa uchaguzi mmoja ndiyo mwanzo wa...
Kuna mtu aliwahi kusema humu Jamiiforums kwamba in politics everything happens for a reason. Akimaanisha kwamba lolote ulionalo kwenye siasa halitokei kwa ajali liko well calculated na linafanywa au kusemwa kwa sababu.
Nawaonya wabunge wa CCM mchezo wao na mzaha wao kwenye katiba yetu ni anguko...
MSIMAMO WA RAIS DKT MAGUFULI DHIDI YA UGONJWA WA CORONA NDIO ULIKUWA MPANGO WA MUNGU KWA AFRIKA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo nitazungumza mambo makubwa ambayo yatapambwa na ushahidi wa kiimani. Hivyo kwa wasomaji wangu ili uweze kunielewa juu ya makala hii utahitaji utulivu mkubwa wa...
Salaam JF,
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi leo ametimiza siku 💯 tangu alipochaguliwa na Wazanzibar kuwa Rais wao, ukweli upo wazi kuwa Rais Mwinyi ameweza kufanya Mambo ya msingi na yenye tija kwa Wazanzibar na taifa lao kwa ujumla ndani ya kipindi hiki kifupi.
Rais Mwinyi ameweza...
Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari.
Muda unakwenda kasi sana tangu kampeni zimalizike na wewe kuibuka na ushindi wa kishindo.Kijana wetu wetu ana mtoto ambae anahitaji matunzo ya kiwango cha...
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Hii kauli imemaliza...
Siasa za Kenya ni kama unaangalia series ya Game of Thrones in real life, zinasisimua na zipo very unpredictable
Huyu jamaa Uhuru Kenyatta nilikuwa naumuona kama yupo civil, level headed, japo sikutegemea atakuwa perfect, kumbe huyu jamaa nae hana tofauti na wnasiasa wanafiki, madikteta na...
Wamachinga wa Dar wamesema wanamshukuru Rais Magufuli kwa kuwajali na kutengeneza mazingira bora ya kufanya kazi.
Wamesema hakuna Rais aliyefanyia wema kama Rais Magufuli hivyo wako tayari kuandamana ili Rais Magufuli abaki madarakani.
Aidha wamachinga wamesema uongozi waliokuwa nao kwa...
Jana Mh Rais akiwa eneo la Kizota ukifungua nyumba za askari wa Magereza ulitamka kuna eneo wananchi wanafukuzwa na mapanga.
Ni kweli kabisa. Cha ajabu uongozi umekaa kimya na kuwapa wababe wenye silaha kuzidi kumega ardhi za wamama wajane na wakongwe waliostaafu.
Ardhi kwa maelekezo hati zao...
Anachokisema Rais Magufuli ni kwamba Watanzania tusipaparikie chanjo bali tuimarishe kinga zetu kwa kutumia tiba na njia za asili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu.
Nijuavyo mimi kitengo cha utafiti wa tiba za asili kimekuwepo tangu 1971 kabla hata ya hii NIMR iliyoasisiwa miaka ya 1980s na dawa...
Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021.
Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC.
Bwana ametoa, bwana ametwaa
--
Baada ya Mgogoro kufukut na waEAGT kuomba raisi aingilie kati nao TAG wanataka warudishiwe mali zao ambazo MOSES KULOLA likimbia nazo na kumuacha EMMANUEL LAZARO bila kitu.
Makanisa na viwanja hivyo mpaka leo vipo kwa majina ya REGISTERED TRUSTEES OF TAG, hamna namna EAGT wataweza kuendeleza...
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.
Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?
Pili: Vipi Rais...
Nana angedhani kwamba ipo siku nchi ya Kenya ndio itakuwa hifadhi la wakimbizi wa kisiasa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki? Aliyekuwa mgombea ubunge jijini Kampala(Woman Mp Seat) na Research Fellow kwenye Chuo Kikuu cha Makarere, mwanaharakati wa kisiasa nchini Uganda, Dr Stella Nyanzi...
Wadau, wengi wanauliza ni kwa nini Rais Magufuli anachukia Upinzani kiasi cha kufanikisha Bunge kugeuka kuwa Halmashauri Kuu ya CCM, NEC.
Ukweli ni kwamba Magufuli si rafiki na watu weupe na product yoyote inayotoka huko. Mengine anakubali tu kwa kuwa hakuna alternative. Lakini angetamani kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.