Binafsi huwa sina imani kwenye huu usanii wa hiki kitu tunaita EAC, lakini wacha tuone mwisho wake.... pia naona sarafu ya pamoja ipo kwenye hatua za mwsho kutekelezeka
The chairman of the EAC Heads of State, Rwandan President Paul Kagame has announced Dr Peter Mathuki from Kenya as the new...
Inatia aibu kuona viongozi wa chama kikubwa kama Chadema na wafuasi wao wanataka kuingilia mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais wa JMT. Ina maana hamna muda wa kupitia na kuperuzi katiba ya JMT? Kwa namna hii mnafaa kuongoza nchi kama hata vifungu vya katiba ya JMT hamuwezi kuvipitia na kuvielewa...
Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.
Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.
Je, kuna lolote...
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana baada ya Balozi Dkt Bashiru kuteuliwa na Mhe Rais kuwa Katibu Mkuu kiongozi kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Kijazi aliyefariki kumekuwa na maneno mengi. Watanzania wamekuwa na mijadala mikubwa ya nani atakuwa mrithi wa Mhe Balozi Bashiru.
Karibu...
Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally.
Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk
Karibu.
Updates:
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
Wanaccm mnaoratibu mipango ya kufanya maandamano ili Rais aongozewe muda wa kusalia madarakani kumbukeni na haya, muwe makini msije mkachafua hali ya hewa tukatafutana.
1.Mnakumbuka kwamba kumekua na matamanio ya baadhi ya wanasiasa, viongozi wa dini na wanaharakati kadhaa kutaka kuitisha...
Habari zenu wakulungwa wa JamiiForums
Nachukua nafasi hii kumpa pole Ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu alilopewa na rais wetu wa JMT pale Mbezi wilaya ya Ubungo.
Mimi Mangi niliyekulia Dar es Salaam bado nairudia rudia hii clip bila kujielewa!
Hakika mitano tena.
Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini”
Amemshambulia sana Rais Magufuli.
1...
Mh rais wewe ni mkuu wa taifa letu, na taifa letu linaendesha kwa misingi ya kuilinda na kuiheshimu katiba ya JMT.
Ibara ya 13 (6)(b) ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa hakuna mtu atakutwa na hatia ya jinai mpaka mahakama ithibitishe na kumtia hatiani.
Kumpa amri IGP awe anawalazimisha...
Rais Biden wa Marekani ameanza shughuli za kikazi na kama ilivyo kawaida kwa Marekani, rais mpya lazima aanze kwa kushauriana na viongozi wenye ushawishi mkubwa kwenye kila kanda, hapa kaongea na rais Uhuru ili kuwekana sawa kwenye baadhi ya mambo muhimu yanayoihusu Afrika...
Rais wa JMT ameyasema hayo wakati akizungumza na watanzania kupitia hadhara iliyokusanyika jana viwanja vya mnazimmoja.
Rais Magufuli amesisitiza kuwa kwa sasa hapa Tanzania kuna vyombo vingi vya habari ambavyo vimepewa leseni za kufanyia kazi na hii ni ishara kuwa kuna uhuru mkubwa wa habari...
Tumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida.
Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta kilio kikubwa. Hili ni tatizo kubwa sana, wewe kama mkuu wa nchi hukupaswa kuwalilia wanaobambikizwa...
Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki.
Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa.
Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
Rais mstaafu wa Congo DR, Joseph Kabila Kabange apokonywa walinzi wa kikosi cha jeshi waliokuwa wakimlinda na kupewa ulinzi wa Polisi wa kawaida.
Haijulikani sababu ya uamuzi huu uliofanywa na Serikali ya Felix Tshekedi. Siku za karibuni wawili hao wamekuwa katika mgogoro wa madaraka.
Habari...
Akiendelea na ziara yake ya siku tatu mkoa wa Dar es Salaam, ambapo leo Februari 25, 2021 ameweka jiwe la msingi katika soko la Kisutu na kuzindua jengo la Jitegemee, Rais Magufuli ametoa wito kwa wizara zote nchini kuwa wepesi kutoa ushirikiano kwa wanahabari ili kufikisa taarifa kwa...
Wakuu Mimi chombo changu kikuu na pekee cha habari ni mitandao ya kijamii. Sio gazeti, radio wala TV. Kwa sababu huku napata habari isiyoghoshiwa (Censored) kwa kiasi fulani. Sasa nimepotea kidogo tu nakutana na malalamiko mengi sana kuhusu Ilala kuwa jiji, kuhusu maamuzi aliyofanya Mkuu...
Leo Rais Magufuli amezindua jengo la Jitegemee linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi lililokarabatiwa, miongoni mwa taasisi zilizopo ndani ya ni studio mpya za AMGL zinazoendesha vituo vya Channel 10, Plus na Magic FM.
Baada ya uzinduzi huo, Rais Magufuli aliomba kuchagua mziki wake na kuchagua...
Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam.
Tukio liko mubashara katika runinga zote
Updates;
Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais kukushukuru sana kabla ya mkutano huu wa hadhara umetupa heshima ya kuzindua Magic FM Radio pamoja na...
Wadau amani kwenu...
Kuna jambo linanitatiza na kunisumbua sana kichwa. Nimedokezwa humu JF kuna watu al-maarufu kama "vipenyo" yaani watu kutoka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambao wana access ya kumfikia mzee baba.
Ninaomba wanisaidie kumuuliza nini faida na manufaa yaliyopatikana...