rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na SADC iliyoleta Marais 8, Jumuiya ya Afrika Mashariki amekuja Rais Kenyatta pekee kumuaga Hayati Magufuli

    Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli. Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa. Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ametoa moja ya hotuba bora sana, nina matumaini ataziba nyufa nyingi za utawala uliopita

    Binafsi nilikuwa na mashaka na namna atavolimiliki jukwaa mbele ya viongozi wabobezi na malegandary wa siasa za kusini mwa Afrika. Ila ukweli kabisa nimeridhika, kwa hotuba ya leo nampa maksi 97% hizo maksi 3% nilizomnyima ni makosa madogo madogo ambayo nadhani yanachangiwa na ugeni na...
  3. JamiiForums Tanzania Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

    Maaskofu wamuasa Rais Samia kuhusu haki na ustawi MAASKOFU wa makanisa mbalimbali Tanzania wamempa ushauri Rais Samia Suluhu Hassan juu ya namna nzuri ya kuongoza nchi kwa haki na ustawi. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Dar es Salaam wa Kanisa Katiloki, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, Jumamosi...
  4. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

    Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli. Nchi za Uganda na Rwanda hazijawahi...
  5. JamiiForums Tanzania Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

    Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule. Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru asitisha hotuba kwenye maombolezo ya marehemu Magufuli ili kuheshimu adhana ya msikiti uliokua karibu

    Nimeipenda hii rais, muhimu sana kuheshimu dini licha ya yote....
  7. JamiiForums Tanzania Marais kumi wathibitisha kuja kumuaga Rais Magufuli

    Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma. Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Rais Mama Samia anahitaji kukuunganisha Taifa turudi kwenye misingi ya Utu, basi Mwigulu Nchemba hafai kuwa VP wala PM

    Wasalaam wanajukwaa! Siku wakati Rais mpya Mama Samia Suluhu anaapishwa kua Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alisisitiza turudi kuungana kua taifa moja na tuzidi kupenda tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Ndugu yetu Mwigulu Nchemba naye jina lake linatajwa kiasi flani katika wale...
  9. JamiiForums Tanzania Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

    Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
  11. JamiiForums Tanzania Macho yangu yananidanganya?

    Mimi si kipofu wala si kiziwi. Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu. Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo? Nina maruerue labda? Hayo ninayoyaona ni mazingaombwe? Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo...
  12. JamiiForums Tanzania Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

    Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

    Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa... “Ukitaka Mambo yako yafanikiwe, Haki ya Mungu, Fulani na fulani kaa Mbali nao! Mwishowe kasema, “Tengeneza adui...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

    Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu. Maswali yangu ni kama yafuatayo.. 1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

    Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! DODOMA NI MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI.HAWA NI WAKAZI WA DODOMA WAKISHIHUDIA SAFARI YA MWISHO YA Rais...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kutabiri anayefaa kuwa Makamu wa Rais ni tafsiri ya wanasiasa wa Tz kutegemea dola kujijenga?

    Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo wengi lakini hakuna aliyejengwa kusimama bila kusimamishwa na dola. Uimara wa kiongozi utokana na...
  17. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Magufuli: Wanyonge na Walalahoi wanajua walichopoteza

    KIFO CHA RAIS MAGUFULI:WANYONGE NA WALALAHOI WANAJUA WALICHOPOTEZA. Leo 12:20hrs 21/03/2021 Uwanja wa Uhuru umejaa pomoni Wananchi wakija kwa shughuli moja tu kuaga Mwili wa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati John Pombe Magufuli, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mh Godwin Gondwe...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee aliyetoa zawadi ya Jogoo, apanda gari kuja kumuaga Rais Magufuli, Dar

    Mnamkumbuka yule mzee aliyempa Magufuli zawadi ya Jogoo kule Kilwa? Mzee Shaweji Kimbwembwe amepanda basi kutoka huko kijijini kwao kuelekea Dar ili apate fursa ya kumuaga Rais Magufuli. Alimpa Rais Magufuli Jogoo baada ya kuelezea kadhia ya huduma hafifu za afya katika eneo lake la Somanga...
  19. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaoenda kumuaga Rais Magufuli

    Wasalaam! Wakati zoezi la kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg John Pombe Magufuli likiendelea mkoani Dar es Salaam ni vema kila anayepanga kwenda kutoa heshima za mwisho achukue tahadhari zifuatazo. a) Jitahidi uvae barakoa. Inakupasa kufahamu ya kuwa unaenda...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

    Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja. Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…