Rais Uhuru asitisha hotuba kwenye maombolezo ya marehemu Magufuli ili kuheshimu adhana ya msikiti uliokua karibu

Kuna matendo Muhm ya kuheshimu makund na imani zngne, ndio uongoz
 
Uhuru Kenyata ni kama Jakaya, wako social sana

Kuna kipindi alikuwa kwny Ziara mmoja wa waliokuwa wanampokea alikuwa mwana Mama wa kiislam alijaribu kwa heshma kuukwepa Mkono wa Uhuru nae uhuru akaelewa kwa haraka akajiepusha kumpa mkono
 
Back
Top Bottom