rais

  1. Rais Uhuru Kenyatta akutana na Rais wa Baraza la Ulaya

    Rais Uhuru Kenyatta leo tarehe 9 Machi, 2021 amefanya kikao na Rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel katika Ikulu ya Nairobi. Viongozi hao wamejadili masuala pana yanayohusu uhusiano wa Kenya na Umoja wa Ulaya yakiwemo: • Kukuza uhusiano wa sekta binafsi ya Kenya na Umoja wa Ulaya ili kubuni...
  2. Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

    Kuna watu watadhani labda nafanya masihara ila ukweli nimejipanga kuchukua nchi kama watanzania mnataka kuachana na haya maisha magumu. Yafuatayo ndio yatafanyika kwenye utawala wangu: 1. Mifuko ya hifadhi ya jamii NSSF na PSSSF nitaifyekelea mbali Michango ya wafanyakazi itaenda kwenye...
  3. K

    Inawezekana Rais Mwinyi na Magufuli hawawasiliani katika uongozi?

    Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania). Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi...
  4. Rais wa Nigeria na Makamu wake wapatiwa chanjo ya Covid 19

    Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya corona. Nigeria wiki iliyopita ilipokea chanjo ya Covid 19 ikiwa ni mwanzoni mwa awamu ya pili ya...
  5. Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

    Bwana Lissu anaongea kwa kujiamini kabisa. Anaongea kama vile ana uhakika na anachokisema. Kuwa, eti hii minong’ono ya Rais Magufuli kuongezewa muda, ni ajenda yake yeye mwenyewe Magufuli kupitia kwa wapambe wake. Natumai ana ushahidi wa anachokisema. La sivyo, ni vibaya sana kwa kiongozi wa...
  6. Prof Lipumba: Taswira ya Tanzania kimataifa iliyoachwa na Mwalimu Nyerere, Rais Magufuli ameiharibu. Ni aibu kubwa kutoshirikiana na WHO

    Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa. Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata...
  7. J

    Dkt. Ryoba: Mwalimu Nyerere alikuwa tayari Uhuru wa Tanganyika uchelewe ili tupate pamoja na Kenya na alikuwa tayari Kenyatta awe Rais!

    Mwanafalsafa Ayoub Ryoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa TBC amesema Mwalimu Nyerere alipenda zaidi Tanzania na Kenya ziungane na kuwa nchi moja. Dkt. Ryoba anasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika ili tupate pamoja na Kenya kadhalika alikuwa tayari kumwachia mzee...
  8. M

    Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Naam wakuu, Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada. Mara nyingine hata akipewa nafasi kutoa neno kanisani. Yupo Dar bado? Leo Machi 7, 2021 amesali...
  9. Tathmini ya Utawala wa Ali Hassan Mwinyi (1985-1995) kama Rais wa Tanzania

    Kwa sababu ya miaka 23 mfululizo ya kutawaliwa na Kiongozi mmoja, baadhi ya Watanzania waliathirika kisaikolojia kiasi kwamba waliamini hakuna kama Nyerere, na wengine wakahofu kuwa bila Nyerere, Tanzania haingekwenda, na labda amani ingetoweka! Yalikuwa ni maluweluwe ya kisaikolojia! Mwaka...
  10. E

    Haya mambo ya hatujapokea taarifa au hatujatangaziwa hata Mwalimu Nyerere aliyakataa

    Hivi karibuni kumekuwa na matamko mfano hatujapewa taarifa kwamba kwenda kuhiji ni lazima mahujaji wawe wamechanjwa chanjo ya Corona AU hatujapewa taarifa toka Kenya kwamba mahindi toka Tanzania yamezuiliwa kuingia Kenya n.k. Hizi kauli hata mzee Nyerere aliwahi kuzikataa eti hatujatangaziwa...
  11. Tanzania inatakiwa iuze unga wa mahindi nje ya nchi, ni muda muafaka Sasa kulisimamia hilo tusililie kupeleka mahindi Kenya

    Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
  12. Ulinzi wa Kim Jong "Kiduku"

    ULINZI WA KIM JONG "KIDUKU". Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Huyu ni kiongozi ambaye vyombo vya...
  13. Ushujaa na ubora wa Rais Magufuli utang'ara zaidi baada ya kung'atuka madarakani 2025

    Salaam Wana JF Nianze andiko hili fupi la uchambuzi kwa kutoa hongera na shukrani kwa Rais Dkt. Pombe Magufuli kuendelea kuonyesha misimamo chanya dhidi ya maslahi ya Watanzania katika mambo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kifya licha ya uwepo wa mashambulizi makali kutoka miongoni mwa...
  14. Taifa linalojali misingi ya demokrasia lazima litengeneze mazingira kuhakikisha Rais anashinda uchaguzi kihalali

    Lazima mfumo wa uchaguzi wa Rais kizamani ambao hauendani na misingi ya kidemokrasia usiwepo tena hapa Tanzania. Kama kuna mgombea Urais ambaye hajaridhika na matokeo basi kuwepo na utaratibu wa kupinga hayo matokeo mahakamani. Ili kuhoji uhalali wa aliyeshinda. Kuishi na taifa amabalo baada...
  15. B

    Mwenyekiti atishia kwenda kwa Rais mbele ya Waziri Lukuvi

    3 Mar 2021 Mtoto wa Muasisi wa TANU uso kwa uso na Mh. Lukuvi, matatizo ya ardhi jijini Mwanza Leo March 03, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na Wananchi...
  16. 5

    Mtandao wa 'Sema na Rais' kule Zanzibar mbona kuna jambo halikuingizwa?

    Habari za wakati huu watu wa jamvi hili. Mimi ni miongoni mwa waliofurahishwa sana na juhudi za Dr. Mwinyi kule zanzibar kwa kuweza vyema kuwaunganisha wazanzibari kwa kuunda umoja wa Kitaifa chini ya Almarhum Maalim Seif Sharif Hamad (Allah Amrehemu). Jambo jengine zuri zaidi Dr. Mwinyi...
  17. F

    Kuibuka kwa wananchi wakiwa na Mabango ya kero mbele ya Rais Magufuli. Je, ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa na watendaji mbalimbali?

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi. Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
  18. Je, kutokuwepo kwa rabsha za tumbuatumbua ndio ishara kuwa Rais Magufuli amemaliza kero zote za wananchi? Mbona kama mambo ndivyo sivyo?

    Ndugu wana JF humu ndio mahala pa kuhoji kila jambo linalotuhusu. Je, serikali awamu ya tano imekamilisha kutatua kero zetu? Alipoingia madarakani rais Magufuli alianza kwa kasi ya kutumbua wote ambao walionekana ni wabadhirifu, wasiowaadirifu ambao walionekana kuwaletea kero wananchi kisha...
  19. Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Maelezo ya Picha: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja(Kulia) akikagua hoteli ya nyota tatu inayojengwa na Hifadhi za Taifa Tanzania inayojengwa Wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu Nyerere akijua kabisa kuwa kuku wa taifa lazima aliwe na wote, aliamua almasi inayochimbwa...
  20. Mfahamu mrithi wa Marehemu Maalim Seif, Mh. Othuman Masoud Othuman

    Anaitwa Othuman Masoud Othuman Sharif Mzanzibari na mtu mashuhuri katika masuala ya sheria. Mh.Othumani alizaliwa kijiji cha Pandani huko Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, tar 7 Februari 1963.Alizaliwa mwaka ambao Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa kisultan mwaka 1963 ,utawala ushirika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…