rais

  1. Zurie

    JamiiForums Tanzania Mnaosisitiza Rais Samia atakuwa 'one term President' mlisikia wapi kuwa anataka kipindi cha pili?

    Naona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Tumshinikize Rais Samia kuhusu satellite ya Tanzania...

    Ikifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi. Kenya wanayo, Egypt wanazo 9. Hii technology ipo available na gharama wala sio ya kutushinda kama Taifa. Ni nusu ya ndege moja tunazonunua au even chini ya hapo. Faida zake ni nyingi mno kulingana...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Umma; Mama Samia Rais wetu vinusuru Vyuo hivi

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya hali ilivyo katika vyuo vikuu vyetu vya umma. Ninazo hoja sita, leo nitawasilisha mbili na zingine nitawasilisha ndani ya juma hili. Ajira za Maprofesa katika vyuo vikuu vya umma na hali halisi ilivyo hivi sasa katika vyuo hivi Mitaala ya Vyuo Vikuu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais mwenye Maono, Msimamo, Uzalendo na Uchapakazi. Asiwe lelemama

    Kwa kiwango cha unafiki tulicho nacho Watanzania. Rais lelemama hawezi ifanikisha Tanzania hii iliyojawa na watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Tanzania ambayo imejaa WANAFIKI WA KIWANGO CHA KIMATAIFA, WANAFIKI WA HADHI YA NYOTA 5. Si ajabu sasa wanaanza kupanga na kujipanga kuanza...
  6. Mlundilwa Jr

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

    Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi. Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai...
  7. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi na watumishi ambao bado wanaweza kuwafanya Watanzania na wawekezaji wasiwe na imani na Serikali ya Rais

    Niseme kwamba kuna viongozi na watumishi ambao bado Watanzania na wawekezaji wanaweza wasiwe na imani na serikali ya Rai Samia Suluhu, uliza kwanini. 1. Namna walikuwa wakisimamia na kutunga sheria za kodi, Habari na walikuwa hawako tayari kulinda haki za binadamu. 2. Manyanyaso ya wananchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

    Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. "Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks...
  9. Mdudu Mende

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

    Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa What does this mean? Mama...
  10. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Maendeleo ya nchi hayaletwi na Wachuuzi bali huletwa na watu ambao ni Creative

    Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
  11. goroko77

    JamiiForums Tanzania Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli kwa heri, hukustahili kuwa Rais

    Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri. Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli. Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa...
  13. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil kuchunguzwa kutokana na jinsi anavyopambana na corona

    Mahakama Kuu nchini Brazil imeamuru Baraza la Senate kuchunguza jinsi serikali ya nchi hiyo ilivyodhibiti maambukizi ya virusi vya corona, huku ikikataza makanisa kufunguliwa na kuzidisha uwezekano wa kuongeza mvutano baina ya Rais Jair Bolsonaro na mhimili wa mahakama. Uchunguzi huo utahusisha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhoji kwanini ' tunaojitambua ' vyema Vichwani tumempenda Rais Samia majibu yao yapo katika hii Nukuu yake...

    " Uwekezaji nchini Tanzania umekuwa ni tatizo na kwakweli mabadiliko makubwa yanahitaji hapa. Makampuni yanafunga, Wafanyabishara wanashindwa kuendelea huku Uchumi wa Tanzania ukiathirika pakubwa, Ajira nyingi Kutoweka, Mzunguko wa Pesa kuwa Mgumu kupelekea Kilio cha kila Siku kwa Wananchi kuwa...
  15. MzeeWaTeknolojia

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tumia Teknolojia kuiokoa Tanzania

    Kwako Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Hoja yangu kwa sentensi moja: napendekeza serikali iwekeze kwenye matumizi ya teknolojia (haswa simu, mitandao ya mawasiliano, na apps) ili kuboresha utumishi wa umma na utawala bora. Hoja yangu kwa kirefu kidogo: napendekeza uanzishe Shindano La Ubunifu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamshukuru rasmi Rais Samia kwa kuwa kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu

    CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Rais Samia akiwa Makamu wa Rais wa Magufuli wakati huo alionesha ujasiri na...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Nashauri Rais aunde Tume ya Upatanishi

    Kwa trend inayoendelea sasa, kimya kimya, wazi wazi na pengine kwa sauti zaidi kila kona ya nchi ni dhahiri kuwa kuna watu wana maumivu na vidonda vikubwa sana vilivyotokana na utawala wa Magufuli. Ni ngumu kusahau Mara moja ila ili kuleta umoja wa Kitaifa NASHAURI iundwe tume au Kamati ya...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Uganda: Rais Samia Suluhu ashiriki utiaji saini kati ya Serikali ya Uganda na Kampuni ya Mafuta ghafi ya Afrika Mashariki (EACOP)

    ======= Rais Samia Suluhu: Wote tunajua jinsi Rais Magufuli alivyounga mkono mradi huu hivyo kuahirisha zoezi hili ilikuwa katika heshima kutambua juhudi zake katika mradi huu. Mradi huu utatoa mapato kwa nchi zote, ajira za muda mfupi na kudumu na kujibu tatizo la ajira. Mradi huu utakuza...
  19. Uda

    JamiiForums Tanzania Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

    Katika uislamu mkopo si jambo la heri. Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai?? Tutafakari
  20. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli tayari ameandika hadithi yake, si jambo rahisi kuifuta

    HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI TAYARI AMEANDIKA HADITHI YAKE,SI JAMBO RAHISI KUIFUTA. Leo 11:45hrs 11/04/2021 Mzee wetu Mzee Ally Hassan Mwinyi,alisema "Maisha ni hadithi tu"ewe mwanadamu kuwa hadithi nzuri,Hayati John Pombe Magufuli yeye tayari ameshaandika hadithi yake si jambo rahisi kuifuta...
Back
Top Bottom