Tanzania inahitaji Rais mwenye Maono, Msimamo, Uzalendo na Uchapakazi. Asiwe lelemama

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,514
Kwa kiwango cha unafiki tulicho nacho Watanzania. Rais lelemama hawezi ifanikisha Tanzania hii iliyojawa na watu wenye maneno mengi kuliko vitendo.

Tanzania ambayo imejaa WANAFIKI WA KIWANGO CHA KIMATAIFA, WANAFIKI WA HADHI YA NYOTA 5.

Si ajabu sasa wanaanza kupanga na kujipanga kuanza mashambulizi kwenye cake ya Taifa. Kila zama zimekuwa na wapiga debe wake na wakosoaji.

Tanzania inakosa msimamo wa Kitaifa. Kumekuwa na misimamo ya kimaslahi zaidi. Rais anapawa kuwa strong sana. Wasomi wenyewe ndo hawa ma profesa waongo, wanafiki na wanaojiingiza kwenye siasa uchwara?

Tuna wakati mgumu sana wa kuendelea. Kila mtu anaangalia atafaidika vipi yeye na watu wake. Tunahitaji Rais mkakamavu hasa kimaamuzi.
 
Inahitaji zaidi institutions zenye uimara na kusimamia katiba paspo kutetereka. Na nchi inahitaji roadmap ya miaka hata 30.
 
Back
Top Bottom