Magufuli kwa heri, hukustahili kuwa Rais

Manzile

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
307
1,000
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS Morogoro Mjini mpaka muda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake Mkuu wa Wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS Wilaya ya Mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa.

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani.

Hebu ngoja nipige bia then nirudi 😎
 

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
8,924
2,000
Ndo alishakuwa...
Sijui haya mnayoozungumza yanawasaidia Nini...
Maana hamwezi kufuta historia hiii
Kila binadamu anayo namna yake ya kujifariji, wapo wengine hutukana, hulia, huenda haja ndogo, au hata kupiga kelele ilmuradi tu kupoza moyo wake kutokana na machungu yaliyomsibu, juu ya yote ni njia moja ya kuwatanabahisha wapenzi wa huyo mwendazake kwamba huyo mnayempenda alikuwa na mambo ya hovyo, alikuwa na roho mbaya na katili japo kwa nje alionekana "malaika" mtetea wanyonge aliyetaka matajiri waishi kama mashetani.🤣
 

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,176
2,000
Nawashangaa watu wanaomtetea magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya, katili, muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS morogoro mjini mpaka mda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake mkuu wa wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS wilaya ya mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa..

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani....

Yaaani hili zeee likayafa....hebu ngoja nipige bia then nirudi 😎
His legacy will live forever
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom